Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,934
- 61,720
Sawa mkuuAisee chunga sana maneno yako.
Ukikuwa utaelewa.
Ni kweli mkuu,mungu anatekeleza kile tunachokiitajiPicha ndio ana akili za darasani au...
Mpaji ni Mungu
ha ha ha ha haAisee uje upate baba mbumbumbu.
Tuchaguaneni jamani.
Msemaji mwingine kasema kua uyaone..when you plan God also plann.au hujui akili zikizid watu hua vichaa...Ni kweli mkuu,mungu anatekeleza kile tunachokiitaji
ha ha ha ha ila nasi tujitahidi....atakama itakuwa ndivyo sivyo,angalau nasi tulionyesha juhudiMsemaji mwingine kasema kua uyaone..when you plan God also plann.au hujui akili zikizid watu hua vichaa...
Mawazo yako ni muhimu mkuuDah!
Kama uzao wako ni mbumbumbu ujue ni karma hiyo inakuandama ya kumkataa mwenza aliye timamu.Picha ndio ana akili za darasani au...
Mpaji ni Mungu
ha ha ha ha haKama uzao wako ni mbumbumbu ujue ni karma hiyo inakuandama ya kumkataa mwenza aliye timamu.
ha ha ha ha tutajuaje sasa kuwa ni mtu sahihiBora arithi vya mama maana akikosa za darasani atapata za duniani sasa kosea kuchagua mtoto arithi vya baba ake kiru.... Kuweni makini aisee
Ndio maana zamani watu walikuwa wanachaguliwa wapenziUnazaa mtoto mtukutu hujui alijifunza wapi mpaka mama mkwe anakuja kusalimia anasema jamani mtoto wa nyoka ni nyoka yaani Baba yake alinisumbua mimi.
Mama ndio kila kitu ujueBora arithi vya mama maana akikosa za darasani atapata za duniani sasa kosea kuchagua mtoto arithi vya baba ake kiru.... Kuweni makini aisee
kwamfano ukiepuka kuoa/kuolewa kwenye familia yenye matatizo ya kiakili,unakuwa umesalimikaPongezi kwa kutoa ya moyoni..... Ila kipi kipimo cha akili?