Tuwaunge mkono wasanii wetu

Tuwaunge mkono wasanii wetu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,649
Reaction score
57,034
Ndugu wa humu JF kwa heshima na taadhima naombeni kuwashawishi nyote tuwe na upendo na hawa wasanii wetu wote kwani sanaa yetu itakapokuwa basi hata taifa letu litakuwa kiuchumi.kwa mfano Nigeria wapo juu kwenye soko LA movie hapa afrika na dunia yote. Natambua ni jinsi gani wasanii tumekuwa tu kiwachukia kutokana na Aidha skendo zao au maisha yao nje ya sanaa hayatupendezi
Lakini nataka nikupe moyo ewe mtanzania mwenzangu kuwa muda wa kuanza kupenda vya kwetu ni huu..embu pata picha ingekuwa we ni msanii unajituma kwa bidii kutoa kazi zako za sanaa alafu RAIA wenzako wanajifanya kama hawakuelewi ungejisikiaje?kiukweli wasanii wa nyumbani wanajitahidi tatizo wanapofanikiwa kdg wanaanza kuleta mambo za ajabu mpk unashindwa kumuelewa lakini hz ni tabia za binadamu karibuni wote hivo sisi tupende kazi zao hivohivo tusiwe na roho ya kuwasusa bila sababu za msingi
Tuuvae ubinadam kipindi magufuli anajaribu kurudisha uzalendo nchini sisi huku tujitahidi kununua kazi za wasanii tuwape ushirikiano.tusahau kuhusu ya nyuma pia wasanii nao kwa kutambua heshima tutayowapa wajitahid kuepuka kashfa na hasa hawa wa bongo movie na bongo fleva,kwa wale wanaofanya Sanaa nyingine wazidi kukaza ili taifa litangaze utamaduni
Asanteni sana kama utakuwa umenielewa na kwa moyo wa dhati unakwenda kuachana na hii biashara ya mawivu
 
Sio wasanii tu, ila hata kazi za nyumbani, ikiwemo watu wa technology ndo hasa wameachwa nyuma sana, nimeona kuna watanzania wako safi tu na wanatengeneza good software lakini unakuta customers wao wengi ni wakenya, nigeria, wa nyumbani ni kama wamelala wanarukia vya USA tu. Tungekua tunasupport vitu vyote vya nyumbani tungekua mbali sana, hizo ni hela za nje tunavuta nyumbani. Kampuni kama JamiiForums hela wanazolipwa na ad companies kama Google ni hela inatoka nje, tukisupport na products nyingine nyingi za bongo tutaona watu wengi wanajihusisha na software na mwisho wa siku ni watu wote watapata services nzuri zaidi.

Ni muda sasa wa watanzania kuanza kua selfish, tung'ang'anie vya nyumbani kwanza kama unavoona watanzania wanatoa support kwa wasanii ka platnumz, wanajitoa sana ndio maana unaona hata ikiwa kupigiwa kura unaona anachukua tuzo zote coz kweli wabongo wanapiga kura kinoma kuliko sehemu nyingine. Tunahitaji hiyo support kwenye kila bidhaa kuanzia matchsticks, maji, kila kitu, tununue vya kwetu kwanza.
 
Sio wasanii tu, ila hata kazi za nyumbani, ikiwemo watu wa technology ndo hasa wameachwa nyuma sana, nimeona kuna watanzania wako safi tu na wanatengeneza good software lakini unakuta customers wao wengi ni wakenya, nigeria, wa nyumbani ni kama wamelala wanarukia vya USA tu. Tungekua tunasupport vitu vyote vya nyumbani tungekua mbali sana, hizo ni hela za nje tunavuta nyumbani. Kampuni kama JamiiForums hela wanazolipwa na ad companies kama Google ni hela inatoka nje, tukisupport na products nyingine nyingi za bongo tutaona watu wengi wanajihusisha na software na mwisho wa siku ni watu wote watapata services nzuri zaidi.

Ni sahihi.tatizo tumezidi majungu
 
Mambo mengi kitu gn tuwachangie japo kdg

haya makelele ya kuwachangia wasanii kila siku sijui maana yake nini. Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake, mbona wavuvi wa samaki atuwasikii kulia kulia kuchangiwa, au hawana umuhimu kwa jamii?
 
Mbona wao waliwasupport wanasiasa kwanini wanasiasa wasiwasupport???
 
Wanasiasa watawachangia tu sihuwa wanakubali kutumika ka tissue watajijua wenyewe acha waisome namba
 
Diva VP kuhusu wale maunderground wanafanya vizuri pia na hawakushiriki kwenye kampeni
Hao je?
 
Wakafanye kazi nyingine za kujitafutia kipato. Samaki mmoja akioza tenga hilo halifai tena. Kwanza wameshajijengea ki fikra kuwa ili uwe maarufu basi utengeneze scandal za ngono ndio utatambulika na sio weledi wa kazi yako.
 
Nitamsapoti vipi mtu ambaye anawafundisha wanangu kufanya upumbavu?!! Hakuna kuangalia bongo movies nyumbani kwangu! Nimeshakataa.
 
Wewe fanya kazi zako upeleke watoto shule,maswala ya wasanii wanatakiwa kufanya kazi zenye uweledi na mvuto kwa mashabi automatically mashabiki watasaport tu kitu kizur wewe unataka kila msanii apewe saport wakati kazi yake hata yeye mwenyewe awezi kuisaport coz mbaya
 
Sisi ambao sio wasanii tunachangiwa na nani, wafanya kazi tu ujinga wa kulia lia kusaidiwa waachane nao
 
Ndugu wa humu JF kwa heshima na taadhima naombeni kuwashawishi nyote tuwe na upendo na hawa wasanii wetu wote kwani sanaa yetu itakapokuwa basi hata taifa letu litakuwa kiuchumi.kwa mfano Nigeria wapo juu kwenye soko LA movie hapa afrika na dunia yote. Natambua ni jinsi gani wasanii tumekuwa tu kiwachukia kutokana na Aidha skendo zao au maisha yao nje ya sanaa hayatupendezi
Lakini nataka nikupe moyo ewe mtanzania mwenzangu kuwa muda wa kuanza kupenda vya kwetu ni huu..embu pata picha ingekuwa we ni msanii unajituma kwa bidii kutoa kazi zako za sanaa alafu RAIA wenzako wanajifanya kama hawakuelewi ungejisikiaje?kiukweli wasanii wa nyumbani wanajitahidi tatizo wanapofanikiwa kdg wanaanza kuleta mambo za ajabu mpk unashindwa kumuelewa lakini hz ni tabia za binadamu karibuni wote hivo sisi tupende kazi zao hivohivo tusiwe na roho ya kuwasusa bila sababu za msingi
Tuuvae ubinadam kipindi magufuli anajaribu kurudisha uzalendo nchini sisi huku tujitahidi kununua kazi za wasanii tuwape ushirikiano.tusahau kuhusu ya nyuma pia wasanii nao kwa kutambua heshima tutayowapa wajitahid kuepuka kashfa na hasa hawa wa bongo movie na bongo fleva,kwa wale wanaofanya Sanaa nyingine wazidi kukaza ili taifa litangaze utamaduni
Asanteni sana kama utakuwa umenielewa na kwa moyo wa dhati unakwenda kuachana na hii biashara ya mawivu

Bana eehhh maneno mingi bla bla nyingi,achaa, kwanza wasanii wenyewe hata nikihesabu hawafiki watano ambao wanaorudisha fadhila kwa jamii kama sehemu ya shukrani kwa jamii,huku wakisahau wanapigiwa kura na wananchi ku-promot kazi zao kama wewe hapo unavyo tumia bundle kupiga domo kwajili yao wakati hawna time na mtu, na kingine wasanii wamekithili kwa kufanya mambo yanyowapotosha watanzania kama kupiga picha za uchi na kuzisambaza mitandaoni wanaua maadili yetu eg shiloli nk,skendo kila siku haziishi na kingine walichobobea nikuwagawa watanzani na hizo team zao, wenyewe hawapeandi kupeana support, sasa wewe kaa jf poteza muda kupiga vuvuzela wakati kuna mambo mengi ya kufanya,na ndo kioo cha jamii ati, tafuta pesa kijana uilishe familia yako achana na hizi habari
 
Waambie watafute kazi za maana, kwani wamelazimishwa kuwa wasanii?
 
Back
Top Bottom