funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,534
- 31,198
Katika hotuba yake kwa wazee wa Dar esSalaam Rais samia amegusia juu ya lilioitwa "Jaribio ovu" dhidi ya Serikali halali ya Tanzania ambalo lilifanyika siku muhimu ya uchaguzi oktoba 29 - 2025.
Ametaja makundi matatu katika mpango huo
1- Wapanga Mipango(Wapo nje)
2- Washitiri/Wafadhili(Wapo ndani)
3- Watekelezaji(Wapo ndani)
Lugha hii ni ya kificho japo ujumbe utakuwa umefika.
JE MTANZANIA MJENGA NCHI unaweza kuwajua au kuwahisi ni kina nani katika makundi haya?