Mkuu haya ni mazoea ya vyombo vya usalama ya kubambikizia watu kesi.Wamezoea kutubambikizia kesi na leo wanafanya hivyo hivyo kwa watu
Tuhuma za Ugaidi zinachafua image ya Nchi husika.Dunia ipo vitani dhidi ya ugaidi sasa unapombambikizia mtu tuhuma kama hizi na kuzitangaza kisha ikaonekana hawahusiki ni lazima uombe radhi kwa namna ile ile uliyotumia kutangaza
Wadau jana nimesikia katika habari za jioni za BBC kwamba nchi wanamotoka wale vijana wanne watuhumiwa wa mlipuko wa Bomu Arusha, wanaitaka Tanzania iwaombe radhi kwa kuwachafua na kuwasababishia usumbufu, Tanzania isipofanya hivyo watavunja uhusiano wa kibalozi na nchi yetu. Je;-
1. Ni utaratibu wa vyombo vya usalama kumtaka radhi mtu au nchi anayotoka kwa kumtuhumu?
2. Hizo nchi hazijawahi kuwatuhumu Watanzania kwa uharifu hata mara moja na kuwakuta hawana hatia?, kama imewahi kutokea walitutaka radhi?
3. Hizi tuhuma kwa hawa vijana zina uzito wa kuvunja uhusiano wa Kibalozi baina ya nchi na nchi iwapo hawatatakwa radhi?
Naishauri Serikali iwatake radhi haraka iwezekanavyo hizi nchi kama ina utaratibu wa kuwataka radhi suspects wote wa uharifu ambao baadaye wanagundulika hawakuhusika, isifanye hivyo kwasababu imetishiwa kuondolewa uhusiano wa kibalozi
Hakuna haja ya kulitetea Jeshi ni kwamba wamekwenda kinyume na weledi wa kazi, hawakutakiwa kuwataja kama upelelezi ulikua haujakamilika, kuna ubaya gani wakisema tu kua polisi inawashikilia watu kwa upelezi zaidi. Shida ya polisi wetu wnafanya kazi kwa msukumo wa wanasiasa..hapo ndio tatizo lilipo! Wangewapeka mahakamani na kuwafungulia mashtaka hapo kungekua hakuna haja yoyote ya kuomba radhi kwa kua wamefuata taratibu za nchi...ila kwa hili wamechemka hakuna kuwatetea hata kidogo periodHapa ndipo panahitajika uzalendo.
Tanzania inahaki na wajibu kwa kujilinda na kujitetea. Inahaki ya kutumia vyombo vyake kumfuatilia mtu yoyote anayehusika au kuonekana kuhusika na usalama wa taifa lake. Inahaki ya kuchukua hatua muhimu na hata kujiridhisha juu ya mtu yoyote yule awe Mwarabu, Mchina, Mzungu, au kabila yingine. Hatua za uchunguzi zimefuatwa na wahusika kuonekana kuwa hawana hatia ndiyo sahihi. Hata hivyo ni uungwana ya kuwa hawakufanyiwa ucheleweshwaji usio na sababu.
Sioni sababu ya kulisemea vibaya jeshi letu hapa.
Mi nadhani wawatake Radi tu yaishe kwani itatughalimu nini? kwasababu uhusiano wa kibalozi ukifungwa na hizi nchi itakuwa na impact kubwa sana kwa Watanzania hebu jaribu kufikiria ikitokea Saudia Arabia inaondoa Ubalozi Tanzania, watu wanaokwenda kuhiji itabidi wafuate Visa nchi jirani, itawaumiza sana Watanzania[HAKUNA SABABU YA KUWAOMBA RADHI; WALIKAMATWA KWA KUHISIWA LABDA KWA SABABU WAO NDIO WAASISI WA UGAIDI DUNIANI
Huu utakuwa wendawazimu kuwataka radhi waarabu hawa ndio makubuu wa kujitoa mhanga, na kuua binadamu wenzao, hata hivyo kwa mjibu wa tamaduni na imani za dini zao hupongeza na kubariki wanaoua kwa kisingizio kuwa wanaoua kwa ajili ya kuteteta imani yao watakuwa katika thawabu na wataketi katka mkono wa kuume kw Mungu.
Infatuation at its best, it can also blind ones thinking and the issue at stake.Mkuu haya ni mazoea ya vyombo vya usalama ya kubambikizia watu kesi.Wamezoea kutubambikizia kesi na leo wanafanya hivyo hivyo kwa watu
Tuhuma za Ugaidi zinachafua image ya Nchi husika.Dunia ipo vitani dhidi ya ugaidi sasa unapombambikizia mtu tuhuma kama hizi na kuzitangaza kisha ikaonekana hawahusiki ni lazima uombe radhi kwa namna ile ile uliyotumia kutangaza
Ni kama Askofu Joseph kibwetere,Fr.Ursala Kamuhangi,Credonia Mwerinde,na Fr.Dominic Kataribaro walivyowauwa waumini wao kanisani kwa kuwachoma moto,baada kuchukuwa mali zao,na kusema wanakwenda kwa Yesu,waliwaua waumini 1000.Huu utakuwa wendawazimu kuwataka radhi waarabu hawa ndio makubuu wa kujitoa mhanga, na kuua binadamu wenzao, hata hivyo kwa mjibu wa tamaduni na imani za dini zao hupongeza na kubariki wanaoua kwa kisingizio kuwa wanaoua kwa ajili ya kuteteta imani yao watakuwa katika thawabu na wataketi katka mkono wa kuume kw Mungu.