Mkuu haya ni mazoea ya vyombo vya usalama ya kubambikizia watu kesi.Wamezoea kutubambikizia kesi na leo wanafanya hivyo hivyo kwa watuWadau jana nimesikia katika habari za jioni za BBC kwamba nchi wanamotoka wale vijana wanne watuhumiwa wa mlipuko wa Bomu Arusha, wanaitaka Tanzania iwaombe radhi kwa kuwachafua na kuwasababishia usumbufu, Tanzania isipofanya hivyo watavunja uhusiano wa kibalozi na nchi yetu. Je;-
1. Ni utaratibu wa vyombo vya usalama kumtaka radhi mtu au nchi anayotoka kwa kumtuhumu?
2. Hizo nchi hazijawahi kuwatuhumu Watanzania kwa uharifu hata mara moja na kuwakuta hawana hatia?, kama imewahi kutokea walitutaka radhi?
3. Hizi tuhuma kwa hawa vijana zina uzito wa kuvunja uhusiano wa Kibalozi baina ya nchi na nchi iwapo hawatatakwa radhi?
Naishauri Serikali iwatake radhi haraka iwezekanavyo hizi nchi kama ina utaratibu wa kuwataka radhi suspects wote wa uharifu ambao baadaye wanagundulika hawakuhusika, isifanye hivyo kwasababu imetishiwa kuondolewa uhusiano wa kibalozi
Hakuna kitu kibaya kama vyombo vya habari kufanya mambo kwa maagizo ya wanasiasa, ninaamini kabisa kulikuwa hakuna haja kabisa kutanga majina ya watuhumiwa ilihali uchunguzi haujakamilika, majina ilitakiwa yatajwe wakati wa kuwapeleka mahakamaniKutenda na kuenenda kwa hisia badala ya kutumia ujuzi na weledi ni kubaya sana...Vyombo vya dola vilikuwa na uwezo wa kuwahoji na kisha kuwaachia kimya kimya baada ya kujiridhisha TOFAUTI na walivyoitangazia dunia eti wamewakamata vijana wa kiarabu! Keyword hapa ilikuwa WAARABU! Lengo la Serikali ilikuwa ni nini hasa?...
LAZIMA waombe RADHI kwa kuitangazia dunia kwa walifanya makosa...
Over my dead body.Wadau jana nimesikia katika habari za jioni za BBC kwamba nchi wanamotoka wale vijana wanne watuhumiwa wa mlipuko wa Bomu Arusha, wanaitaka Tanzania iwaombe radhi kwa kuwachafua na kuwasababishia usumbufu, Tanzania isipofanya hivyo watavunja uhusiano wa kibalozi na nchi yetu. Je;-
1. Ni utaratibu wa vyombo vya usalama kumtaka radhi mtu au nchi anayotoka kwa kumtuhumu?
2. Hizo nchi hazijawahi kuwatuhumu Watanzania kwa uharifu hata mara moja na kuwakuta hawana hatia?, kama imewahi kutokea walitutaka radhi?
3. Hizi tuhuma kwa hawa vijana zina uzito wa kuvunja uhusiano wa Kibalozi baina ya nchi na nchi iwapo hawatatakwa radhi?
Naishauri Serikali iwatake radhi haraka iwezekanavyo hizi nchi kama ina utaratibu wa kuwataka radhi suspects wote wa uharifu ambao baadaye wanagundulika hawakuhusika, isifanye hivyo kwasababu imetishiwa kuondolewa uhusiano wa kibalozi
Safari hii 'political diversion' ya serikali imeenda mrama vibaya sana.
Walitaka kutumia tukio la bomu kanisani ili kusahaulisha watanzania kuhusu kashfa za ujangili wa katibu mkuu wa ccm taifa..
Wametekeleza tukio hilo, lakini halikuweza kusahaulisha watu kuhusu ujangili wa Kinana.
Mwaka 2011, walimtumia babu wa Loliondo ili kuwasahaulisha watu kuhusu uchaguzi uliochakachuliwa wa 2010.
Pia babu huyo alifanikiwa kuwasahaulisha watu kuhusu kashfa za Dowans, n.k.
This time imekataa...!!!
OOOpppppsss...!!!!
This time the 'political diversion' has gone horribly wrong... !!!!
Tatizo kubwa ni kwamba vyombo vyetu vya usalama vimejiingiza katika Siasa, Professionally huwezi ukataja jina au nchi ya mtuhumiwa wakati bado unaendelea na upelelezi, kwanza unaichafua nchi husika pili unamchufua muhusika na Tatu unaweza kuvuruga upelelezi, hebu fikiria kitendo cha kumtaja Victor Amrose ilihali unaendelea na upelelezi hawaoni kwamba kwa namna moja au nyingine inawafanya aliokuwa nao ikiwezekana wajifiche zaidi? Ninaamini vyombo vyetu vya uasama vina watu wenye weledi wa kutosha ila wameamua kutokuutumia ili kutuharibia nchi yetu kwa makusudiMkuu haya ni mazoea ya vyombo vya usalama ya kubambikizia watu kesi.Wamezoea kutubambikizia kesi na leo wanafanya hivyo hivyo kwa watu
Tuhuma za Ugaidi zinachafua image ya Nchi husika.Dunia ipo vitani dhidi ya ugaidi sasa unapombambikizia mtu tuhuma kama hizi na kuzitangaza kisha ikaonekana hawahusiki ni lazima uombe radhi kwa namna ile ile uliyotumia kutangaza
Mkuu sisi kama chadema pamoja na Rwakatale tunapaswa kuombwa msamaha na hii jamuhuri kwa kutuzushia kuwa chadema na kiongozi wetu ni magaidi???Mkuu haya ni mazoea ya vyombo vya usalama ya kubambikizia watu kesi.Wamezoea kutubambikizia kesi na leo wanafanya hivyo hivyo kwa watu
Tuhuma za Ugaidi zinachafua image ya Nchi husika.Dunia ipo vitani dhidi ya ugaidi sasa unapombambikizia mtu tuhuma kama hizi na kuzitangaza kisha ikaonekana hawahusiki ni lazima uombe radhi kwa namna ile ile uliyotumia kutangaza
Mkuu haya ni mazoea ya vyombo vya usalama ya kubambikizia watu kesi.Wamezoea kutubambikizia kesi na leo wanafanya hivyo hivyo kwa watu
Tuhuma za Ugaidi zinachafua image ya Nchi husika.Dunia ipo vitani dhidi ya ugaidi sasa unapombambikizia mtu tuhuma kama hizi na kuzitangaza kisha ikaonekana hawahusiki ni lazima uombe radhi kwa namna ile ile uliyotumia kutangaza
Over my dead body.
Watanzania wanaohlsiwa huko Uarabuni umeombwa radhi mara ngapi?
Ukijidharauu utadharauliwa.
Kutenda na kuenenda kwa hisia badala ya kutumia ujuzi na weledi ni kubaya sana...Vyombo vya dola vilikuwa na uwezo wa kuwahoji na kisha kuwaachia kimya kimya baada ya kujiridhisha TOFAUTI na walivyoitangazia dunia eti wamewakamata vijana wa kiarabu! Keyword hapa ilikuwa WAARABU! Lengo la Serikali ilikuwa ni nini hasa?...
LAZIMA waombe RADHI kwa kuitangazia dunia kwa walifanya makosa...