Tuwataje Wabunge wetu 75


1. William Lukuvi
2. Steven Wassira
3. Steven Ngonyani a.k.a Maji Marefu
4. Captain John Komba
5. Job Ndugai
6. Anne Semamba Makinda
7. Lusinde a.k.a Kibajaj
7. Mwigulu Nchemba
.
.
.
.
The list Goooooooooes on :nod:
 
Kimsingi wengi ha chama tawala hawastahili kuwemo,ndo waliotupeleka kuwa katika hali zoofli hii.
 
vipi kuhusu BoT waku, hukozanzibar hop watachukua banki ya watu wa zanzibar iwe central.tanganyika we have to remain with our central bank ukizingatika share zetu ndo nyingitene almost zote
 
Waliberali sasa kwao, kelele zitapungua ila kwa sababu huwa hawaishiwi watakuja na lingine.
 
Mleta mada bado haujajua tofauti kati ya Bunge la Tanzania bara na Bunge la Muungano. Kwanza hilo Bunge la muungano huenda hata lisiwepo dodoma na litakuwa kama joka la Kibisa tu mbele ya serikali za Tanganyika na Zanzibar.
 
1. William Lukuvi
2. Steven Wassira
3. Steven Ngonyani a.k.a Maji Marefu
4. Captain John Komba
5. Job Ndugai
6. Anne Semamba Makinda
7. Lusinde a.k.a Kibajaj
7. Mwigulu Nchemba
The list Goooooooooes on :nod:
Hapa sioni hata katibu kata_hawa labda kwenye bunge la nyumbani kwako. sawa ndugu.
 
Vipi kuhusu Komba aka pressure inapanda pressure inashuka? Naye inabidi awemo!! hahahahaha!
 
mkuu bunge letu la Tanganyika litakuwepo kama kawaida.. Hilo unalolisema ni shirikisho (jamhueri ya muungano) sasa wewe kwa akili yako linchi lote liwe na wabunge 70 itakuwaje.. Ebu shirikisha kidogo kichwa na ubongo

Kwanini linchi lote liwakilishwe na wabunge 50 na ishindikane kwa Tanganyika?
 
1. William Lukuvi
2. Steven Wassira
3. Steven Ngonyani a.k.a Maji Marefu
4. Captain John Komba
5. Job Ndugai
6. Anne Semamba Makinda
7. Lusinde a.k.a Kibajaj
7. Mwigulu Nchemba
.
.
.
.
The list Goooooooooes on :nod:

Bila kumsahau mzee wa kipisto aka 'Maharage'
 
Kwanza bunge hilo litakuwa halina maana, very unpopular, litakuwa halizungumzii mambo muhimu yanayomgusa mwananchi wa kawaida
 
1. William Lukuvi
2. Steven Wassira
3. Steven Ngonyani a.k.a Maji Marefu
4. Captain John Komba
5. Job Ndugai
6. Anne Semamba Makinda
7. Lusinde a.k.a Kibajaj
7. Mwigulu Nchemba
.
.
.
.
The list Goooooooooes on :nod:

hahahah! Mkuu hii list ni janga kwa taifa letu...weka mbali na taifa letu
 
Zitto Mtoe amekwishasema hagombei tena ubunge, tunasubiri utekelezaji wa kauli yake.
Nadhani alisema hatogembea tena ubunge ktk jimbo la kigoma, maybe atagombea katika jimbo lingine mf. dar?
 
1. William Lukuvi
2. Steven Wassira
3. Steven Ngonyani a.k.a Maji Marefu
4. Captain John Komba
5. Job Ndugai
6. Anne Semamba Makinda
7. Lusinde a.k.a Kibajaj
7. Mwigulu Nchemba
.
.
.
.
The list Goooooooooes on :nod:

unatania wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…