VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Asante Mkuu. Ubarikiwe sana mwanangu!mada zako ni za kitoto kweli
Mkuu, mimi nawazungumzia waliotajwa kwenye Rasimu. Hao ambao hawakutajwa sikuwazungumzia.Unawajua watakuwa wangapi?mkuu bunge letu la Tanganyika litakuwepo kama kawaida.. Hilo unalolisema ni shirikisho (jamhueri ya muungano) sasa wewe kwa akili yako linchi lote liwe na wabunge 70 itakuwaje.. Ebu shirikisha kidogo kichwa na ubongo
Asante Mkuu. Ubarikiwe sana mwanangu!
Mkuu, mimi nawazungumzia waliotajwa kwenye Rasimu. Hao ambao hawakutajwa sikuwazungumzia.Unawajua watakuwa wangapi?
vuta nikuvute unatia aibu jukwaani..uwe unatumia kichwa unapowasilisha mada humu jukwaani
sioni mbunge hata mmoja hapo, wahuni watupu
Nadhani kwa uungwana wapishe watoto wajadilimada zako ni za kitoto kweli
Nadhani kwa uungwana wapishe watoto wajadili
JF ni jukwaa huru ndugu, hapa sio ulingo wa CDM na CCM...kuna wengine sisi ni Watanzania tusiofuata itikadi za vyama sijui kama umelifikiria hiloWe unafikiri CDM kitapata walau kiti kimoja cha mbunge wa shirikisho? Yani wa muungano? Hapa CDM hamtoki yangu macho