Tuwasikilize wenye akili kubwa kuiboresha nchi yetu

1.Tundu Lissu
Majimbo ya uchaguzi yagawanywe kulingana na idadi ya watu, sio jiografia au matakwa na maslahi binafsi tu ya watawala kama ilivyo sasa. Mkoa wa mtwara wenye wapiga kura laki tisa una majimbo 10 ya uchaguzi sawa na mkoa wa Dar es Salaam wenye wapiga kura million tano na nusu nao una majimbo 10 tu ya uchaguzi huku Zanzibar yenye wapiga kura laki tano ina majimbo 50 ya uchaguzi!

2.Fatma Karume
Tume ya uchaguzi haina mamlaka ya kuwaondoa watu kiholela na kinyamelea kwa sababu ya kukosea tu kujaza fomu za uchaguzi au kutoweka nukta mwisho wa sentensi. Pia tume ya uchaguzi isitumike kufanya mambo ya hovyo kama watumishi wake kujificha ile kutopokea fomu za wagombea wa upinzani. Hata majaji wa mahakama huwa wanakosea kuliita na kuandika jina lake, fatuma badala ya fatma!

3.Ananilea Nkya
Viti maalumu vya ubunge havina faida yoyote kwa sababu wabunge wa viti maalumu hawawajibiki wa jimbo lolote. Kwa miaka mitano wabunge 113 wa viti maalumu wanalipwa billion 200 ambazo zinaweza kulipia bima ya afya kwa watoto wote wa nchi kwa kipindi hicho.
Mi naonelea kuhusu Majimbo ya uchaguzi tufate Katiba ya Warioba, Tanzania inafaa kuwa na Wabunge 150 tu na Sidhani kama Tunahitaji Rundo la Wabunge 393..

Tutapunguza matumizi ya Fedha sana..

Pili kuondoa wabunge wa Viti maalumu maana hawa hawawajibiki kwa Wananchi zaidi ya Kuwajibika kwa wao wenyewe na matumbo yao..

Tuige Katiba ya kenya Ambapo Mbunge anaweza kuwajibishwa na Raia endapo atakosea au atasema kile ambacho hawakumtuma..
 
Kwa Idadi yoyote ile ya wabunge, uwakilishi wa jimbo ni muhimu uzingatie idadi halisi ya wapiga kura na sio jiografia ya milima, mito, misitu na barabara.

Ni kituko mbunge mmoja anawakilisha wapiga kura laki tatu na mwingine anawakilisha wapiga kura elfu ishirini.
 
Nchi yetu ilipofikia sasa inahitaji Rais ajaye awe Katili sana. Aje awatapishe mafisadi pesa zote walizopora, walizoficha Nje ya Nchi zirejeshwe, wafungwe gerezani au tuwatie ndani, aaachane na Plea Bargain inahamasisha wizi.
Hatuhitaji Rais Katili nali Rais anayeweza kusimamia Sheria na Uwajibikaji kwa dhati.

Sio bla bla za wale waliopita.
 
Kwa Idadi yoyote ile ya wabunge, uwakilishi wa jimbo ni muhimu uzingatie idadi halisi ya wapiga kura na sio jiografia ya milima, mito, misitu na barabara.

Ni kituko mbunge mmoja anawakilisha wapiga kura laki tatu na mwingine anawakilisha wapiga kura elfu ishirini.
Kwa mfano Mpiga kura anayewakilisha Jimbo la Ngorongoro anawakilisha Kina Nani?
Na watu wanahamishiwa Msomera?
 
Mi naonelea kuhusu Majimbo ya uchaguzi tufate Katiba ya Warioba, Tanzania inafaa kuwa na Wabunge 150 tu na Sidhani kama Tunahitaji Rundo la Wabunge 393..

Tutapunguza matumizi ya Fedha sana..

Pili kuondoa wabunge wa Viti maalumu maana hawa hawawajibiki kwa Wananchi zaidi ya Kuwajibika kwa wao wenyewe na matumbo yao..

Tuige Katiba ya kenya Ambapo Mbunge anaweza kuwajibishwa na Raia endapo atakosea au atasema kile ambacho hawakumtuma..
Sahihi
 
1.Tundu Lissu
Majimbo ya uchaguzi yagawanywe kulingana na idadi ya watu, sio jiografia au matakwa na maslahi binafsi tu ya watawala kama ilivyo sasa. Mkoa wa mtwara wenye wapiga kura laki tisa una majimbo 10 ya uchaguzi sawa na mkoa wa Dar es Salaam wenye wapiga kura million tano na nusu nao una majimbo 10 tu ya uchaguzi huku Zanzibar yenye wapiga kura laki tano ina majimbo 50 ya uchaguzi!

2.Fatma Karume
Tume ya uchaguzi haina mamlaka ya kuwaondoa watu kiholela na kinyamelea kwa sababu ya kukosea tu kujaza fomu za uchaguzi au kutoweka nukta mwisho wa sentensi. Pia tume ya uchaguzi isitumike kufanya mambo ya hovyo kama watumishi wake kujificha ile kutopokea fomu za wagombea wa upinzani. Hata majaji wa mahakama huwa wanakosea kuliita na kuandika jina lake, fatuma badala ya fatma!

3.Ananilea Nkya
Viti maalumu vya ubunge havina faida yoyote kwa sababu wabunge wa viti maalumu hawawajibiki wa jimbo lolote. Kwa miaka mitano wabunge 113 wa viti maalumu wanalipwa billion 200 ambazo zinaweza kulipia bima ya afya kwa watoto wote wa nchi kwa kipindi hicho.
Dah hizi takwimu za majimbo na wapigakura wao zinahuzunisha, zinakera na zinatia hasira! Na bado kuna mijitu inaendelea kuunda majimbo ili kuongezeana ulaji
 
Nchi yetu ilipofikia sasa inahitaji Rais ajaye awe Katili sana. Aje awatapishe mafisadi pesa zote walizopora, walizoficha Nje ya Nchi zirejeshwe, wafungwe gerezani au tuwatie ndani, aaachane na Plea Bargain inahamasisha wizi.

Barabara ya Dar Moro Mbeya ipigwe njia njia nne.

DPW Wafukuzwe Bandarini.

Tupanue Bandari ya Salama meli ikifika hakuna kusubiri.

Sitisha Bandari ya Bagamoyo.

Fukuza Mwizi anayetaka kuumiza Watanzania na Barabara ya KIBAHA - CHALINZE kwa kulipia.

Eneo la Kurasini liliolipiwa fidia na Serikali Boresha na Gawia Nchi za Rwanda, Zambia, Malawi nk ambazo ni wateja wa bandari zetu wapaki gari zao bure.

FUTA ICD zoote za huku vichochoroni maana ndizo zinasababisha adha na uharibifu wa barabara.
ICD zijengwe kuanzia Kibaha kuelekea hukooo mbele. Malori yoote kutoka abroad yafike Dar kwa nadra.

Vunja Ndoa za Ikulu na Tycoons kudhamini safari za Viongozi wa serikali mwishowe hawa matajiri hufanya lolote.

Imarisha mahusiano ya Kijamii hasa Viongozi wa Dini waisapoti Serikali, kuliko sasa tunahubiriana visasi.

Futa teuzi za Mchongo.

Jenga Trunk Road ya pekee Bandarini hadi Kibaha/vigwaza yaaani malori yatembee 24/7 sio leo mwaka 2024 malori yanshindwa kutembea full time.

Boresha mazingira ya Uwekezaji kuongeza ajira.

Mwisho, asipende Kick, asicheke na Chawa na ngedere hakika Tanzania hiyo Bandari pekeee inaweza kutuneemesha basi tu Nchi tumeacha iwe shamba la bibi.
Kwaresma njema na maandalizi mema ya mfungo mtukufu.
Mawazo mazuri sana,
Hata mimi kila siku huwa nafikiria inawezekanaje watu wanaotuongoza hili jambo limekuwa gumu kulifanyia kazi!!!

Eneo kama la kurasini mpaka eneo la keko na kilwa road , limejaza vijumba ambavyo serikali ingeweza kulitwaa wajengewe nyumba maeneo mengine,

Eneo hilo liwe kwa ajili ya shughuli za bandari tu, badala ya kufikiria kuingiza pesa nyingine kule Bagamoyo,

Hiyo pesa ingetosha kujenga barabara nyingine ya Malori tu mpaka kibaha au Vigwaza,

Mpango wa Magufuli kuwa na bandari kavu kule vigwaza sijui hata uliishia wapi , mambo ya ajabu sana haya,

Pale misugusugu kwenye sijui kuna gani pale ya serikali , ni eneo duni sana ambalo truck zote za kwenda nje lazima zistop kwanza pale,

Ni eneo baya , halina miundombinu mizuri kwa malori kupack!! Lakini lipo vilevile miaka na miaka,

Kusema kweli ni aibu kubwa sana kwa nchi kama hii,

Barabara kutoka kibaha mpaka Chalinze ndio kioo cha nchi yetu , lakini hakuna mtu anajali,

Kila siku ni hadithi tu kuwa inajengwa lakini hakuna kitu.

Inasikitisha sana
 
1.Tundu Lissu
Majimbo ya uchaguzi yagawanywe kulingana na idadi ya watu, sio jiografia au matakwa na maslahi binafsi tu ya watawala kama ilivyo sasa. Mkoa wa mtwara wenye wapiga kura laki tisa una majimbo 10 ya uchaguzi sawa na mkoa wa Dar es Salaam wenye wapiga kura million tano na nusu nao una majimbo 10 tu ya uchaguzi huku Zanzibar yenye wapiga kura laki tano ina majimbo 50 ya uchaguzi!

2.Fatma Karume
Tume ya uchaguzi haina mamlaka ya kuwaondoa watu kiholela na kinyamelea kwa sababu ya kukosea tu kujaza fomu za uchaguzi au kutoweka nukta mwisho wa sentensi. Pia tume ya uchaguzi isitumike kufanya mambo ya hovyo kama watumishi wake kujificha ile kutopokea fomu za wagombea wa upinzani. Hata majaji wa mahakama huwa wanakosea kuliita na kuandika jina lake, fatuma badala ya fatma!

3.Ananilea Nkya
Viti maalumu vya ubunge havina faida yoyote kwa sababu wabunge wa viti maalumu hawawajibiki wa jimbo lolote. Kwa miaka mitano wabunge 113 wa viti maalumu wanalipwa billion 200 ambazo zinaweza kulipia bima ya afya kwa watoto wote wa nchi kwa kipindi hicho.
Huyu mama Nkaya anataka kufukuzwa chadema aisee ,inawezekanaje anapinga uwepo wa wabunge wa viti maalum? Hivi hajui kuwa mke wa Naibu Katibu mkuu wa chadema yuko bungeni kwa viti maalumu?
 
Mbona Mpina ni CCM na huwa anapinga mambo yake mengi??
 
Duh hii nchi ujinga ni mwingi sana, watu laki 5 majimbo 50, Donald Trump akiwatukana waafrica wana mnamuona mbaya.
 
UDP=John cheyo Chama kilianzishwa mwaka 1994 akiwa Mwenyekiti wake mpaka leo bado ni mwenyekiti wa chama hicho Mwaka wa 30 sasa..

CUF= Lipumba amechukua Madaraka Ya Uenyekiti mara baada ya uchaguzi wa 1995 ilikuwa ni mwaka 1996 Na mpaka sasa Ni mwenyekiti wa CUF huu ni mwaka wa 28

NCCR/TLP= Mrema alikuwa Mwenyekiti wa hivyo vyama kwa miaka zaidi ya 25 na sikusikia tukipiga kelele hivi..

TANU/CCM= Nyerere amekuwa Mwenyekiti wa TANU/CCM tangu mwaka 1954 mpaka mwaka 1990 kwa miaka 36 Sikuona hata mmoja aliyelalamika

Na wapo wengine wengi..
Ila CHADEMA Mbowe kuongoza kwa miaka 20 imekuwa Nongwa ukiona Adui anapiga Kelele Dawa imemuingia
Na kama Mbowe angekuwa type ya Cheyo, Lipumba, Mrema au ndumilakuwili wengine kama hao, hungesikia haya makelele.
 
Chadema iitishe uchaguzi haraka sana, mwenyekiti wake amepitiliza kukalia kiti, hii si afya katika chama kinachojitanabai ya kwamba kina demokrasia safi, hili sio demokrasia hilo ni udikteta, hii inareflect nini kitatokea watakapo twaa madaraka.
Na tuna mrudisha kitini huyo huyo msiyempenda....mitano tena kwa mhe mbowe
 
Nchi yetu ilipofikia sasa inahitaji Rais ajaye awe Katili sana. Aje awatapishe mafisadi pesa zote walizopora, walizoficha Nje ya Nchi zirejeshwe, wafungwe gerezani au tuwatie ndani, aaachane na Plea Bargain inahamasisha wizi.

Barabara ya Dar Moro Mbeya ipigwe njia njia nne.

DPW Wafukuzwe Bandarini.

Tupanue Bandari ya Salama meli ikifika hakuna kusubiri.

Sitisha Bandari ya Bagamoyo.

Fukuza Mwizi anayetaka kuumiza Watanzania na Barabara ya KIBAHA - CHALINZE kwa kulipia.

Eneo la Kurasini liliolipiwa fidia na Serikali Boresha na Gawia Nchi za Rwanda, Zambia, Malawi nk ambazo ni wateja wa bandari zetu wapaki gari zao bure.

FUTA ICD zoote za huku vichochoroni maana ndizo zinasababisha adha na uharibifu wa barabara.
ICD zijengwe kuanzia Kibaha kuelekea hukooo mbele. Malori yoote kutoka abroad yafike Dar kwa nadra.

Vunja Ndoa za Ikulu na Tycoons kudhamini safari za Viongozi wa serikali mwishowe hawa matajiri hufanya lolote.

Imarisha mahusiano ya Kijamii hasa Viongozi wa Dini waisapoti Serikali, kuliko sasa tunahubiriana visasi.

Futa teuzi za Mchongo.

Jenga Trunk Road ya pekee Bandarini hadi Kibaha/vigwaza yaaani malori yatembee 24/7 sio leo mwaka 2024 malori yanshindwa kutembea full time.

Boresha mazingira ya Uwekezaji kuongeza ajira.

Mwisho, asipende Kick, asicheke na Chawa na ngedere hakika Tanzania hiyo Bandari pekeee inaweza kutuneemesha basi tu Nchi tumeacha iwe shamba la bibi.
Kwaresma njema na maandalizi mema ya mfungo mtukufu.
Akili kubwa, mawazo yakinifu👏👏👏
 
Dah hizi takwimu za majimbo na wapigakura wao zinahuzunisha, zinakera na zinatia hasira! Na bado kuna mijitu inaendelea kuunda majimbo ili kuongezeana ulaji
Yaani kiukweli Nchi yetu inaongozwa na Wezi tupu.

Hakuna Kiongozi mwenye Nia ya Kuleta Maendeleo ataendelea na huu mfumo.

Ikiwa no hivyo basi ni Bosheni tu.
 
CCM kuna uvumilivu wa hoja mmbadala ,chadema ukitofautiana nao wanakutumua ,reje kuhusu Zitto na Kitila
Ccm ipi wanaongoza kupean sumu?

Hata Steve naye mlitaka kumuua

Sasa steve ana nini jamani mlitaka kumtoa roho?

Si kupiga Bomu Mortuary?
😂😂
 
Naona na ccm waige utaratibu wenu, ili mama Samia awe ni mwenyekiti wa kudumu na Rais wa milele!
 
Back
Top Bottom