Tuwasapoti bongo movie katika hili

Tuwasapoti bongo movie katika hili

watu wenyewe wanapenda rangi ya viwavi jeshi tusitegemee kupata akili hivi karibuni, wadada wa nyumbani nao siku hizi wamekua wajanja wako busy na wafilipino na wamexiko😀
 
Hamna kitu...akili zako nawewe kama bashite tu
 
Bongo movie bado sana. Kwanza sijui wanatumia camera za aina gani, maana panapokuwa na action ya harakaharaka mfanao kukimbia au mhusika anapongea kwa gesture nyingi unaona Blurry image yaani picha inakuwa haionekani clearly.
 
Muv zao ni zipi kwani????manaje ninachokua unapokua na product nzur sokon huna haja ya kuandamana barabaran na kutoa matamko kua bidha inayifanana na yako kutoka nje isiingie ili wewe0 upate soko.Hapo patakuabhakuna ushindan na hutatumia brain kuifanya bidha yakobiwe bora kwakua utabweteka,na kwakua walijiingiza kwenye siasa kwa ahadi hewa kua serekali utawasaidia sasa naona wanakaribia kuomba nguvu ya jeshi maybe ili tynunue kazi zao.Achen ujinga ingien kazin mfanye jitu kizuri muondoe zile watch out part 5,muwe wabunifu enzi za marehem Kanumba mlikua na soko kubwa sanaa kwakua hamkua wanasiasa uchwara mlikua wachapa kazi.Et lile libaba likubwa limekaa mbele linalilia muv za nje zipigwe marufuku dah aibu hii.Angalau mngeomba hzo muv za nje zipigwe kodi kubwa ningewaelewa
Ndug wakati ulipoanza kufafanua nikajuwa unafahamu kiini hasa cha wao kuadamana lakini ulipomaliza mwisho nikajuwa na we ni mmoja kaati ya watu waliopotoshwa kiuelewa.

Bongo movies waliandamana ili kuishinikiza serikali iwabane hao wanaoingiza movies walipe kodi wala hawakuandaman ili kuiomba serikali izikataze kuingia nchni.

Kwa hiyo dhumuni lao la kuandama linaenda sambamba na hitimisho lao kwamba serikali iwabane wanaoingiza za nnje walipe kodi natumaini sasa umeelewa na hautapotosha tena

Unapaswa kuelewa hata wewe sasa hivi ukiwa na malalamiko yako kwa serikali utayawasilisha kwa serikali inayoongozwa na ccm hakuna zaidi ya hapo na ukipatiwa hitaji lako unauamuzi wa kuendelea na chama chako hawawezi kwenda kwa mbowe wamwambie sababu mbowe haongozi serikali.

Kwa hiyo waka hili suala halikuwa la kisiasa sababu kati yao wapo waliokuwa ukawa na wapo waliokuwa ccm lakini wote wakaungana kwendaserikalini
 
Yaani CD ya Iris iuzwe 5000 na CD ya bongo movie iuzwe 5000 yaani niache Iris nichukue bongo movie ni kama vile dagaa wa kigoma wauzwe bei sawa na wa mwanza nani atawanunua wa mwanza?

Mfano season mpya ya prison break iliyotoka leo hii iwekwe sokoni na picha zenu za bongo movie tuone kama haitouzika

Mbona diamond kwenye industry ya muziki na kampuni yake ya wcb anafanya vizuri na mashabiki wake wananunua kazi zake

Diamond anatumia kiasi kikubwa cha pesa kutengeneza quality music hawa bongo vilaza wana act kijinga yaani Ray ni director,editor,author,main character yeye yaani kila kitu yeye khaaa

Wakati movie za nje zikiisha mwishoni utakuta list ndefu ya ya presenters ,waigizaji ,waliohusika nk lakini bongolala utakuta list fupi


Movie za nje huchukua muda mpaka inakuwa inaisha lakini huku kwetu miezi 4 movie imeisha

Mwishoni hata wafanyaje bongo movie itabaki vile vile

Waombe tu housegals waongezeke na wanunue kazi zao kwa wingi wawashawishi

Hebu tizama tamthilia za wafilipino,Venezuela na mexico utafananisha na upuuzi wa bongo movie

Movie za nje ni kama dagaa wa kigoma wawekee price tag ya 5000 na bongo movie dagaa wa mwanza 5000 aah kila mtu atakimbilia dagaa wa kigoma
Sasa hitimisho lako ni nini maana umelinganisha tu,haijarishi nani atanunua wote walipe kodo yaishe halafu nakuhakikishia hao wakilipa kodi hakuna movie yao itakayouzwa bei sawa na bongo cd moja inamuunganiko wa movie 20 ndani kwamwe haiwezi kuu zwa bei moja n aya bongo
 
Serikali ikiamua kuzingatia sheria ya hatimiliki hizi CD zinazotapakaa mitaani hutoziona maana wengi wanadownload na kutoa copy nying na kuuza
 
Back
Top Bottom