Tuwasaidie dada zetu walio vyuoni

You teach someone how to fish not giving him/her fish
mkuu stayReal naomba kwa heshima na taadhima nikushukuru kwa hiyo post though ni ndefu but its worth reading ...nimejifunza new things from you ....guys google scholar is awesome try it....
 


I am telling am very dissapointed na comment za watu hapa, just think about it hii nchi ina mabillionea wangapi! Lakini hakuna hata mmoja ambaye amejitolea hata kufanya chochote then watu kama sisi ambao tuko mbali tunajaribu kuchange that system but the negative comments nimepata mpaka nashangaa what happen to our great thinking. Thanks mkuu atleast kuna mtu mmoja anafikiria positively, I wont give up, let her let me down but nitakuwa nimejaribu mkuu
 
mkuu stayReal naomba kwa heshima na taadhima nikushukuru kwa hiyo post though ni ndefu but its worth reading ...nimejifunza new things from you ....guys google scholar is awesome try it....

Mkuu lakini unaona post za watu humu ambao tunajiita great thinkers ambao we want to change this country. Thanks mkuu though
 

Haya ndio mawazo tunatakiwa kuwa nayo mkuu, i can take it to $100 kila mwezi, Lakini kumbuka mkuu am just adding something to what she already has am not offering a full scholarship, just a small way to help
 

What about if i sent it directly to her mkuu! But wazo zuri will try to look into it
 

Hili nalielewa sana mkuu ndio maana nikasema am just adding something small to help someone who real need the help
 

Thanks mkuu, atleast there are few people who still believe in this country like you
 

Ndio hivyo mkuu, she knows I need to help someone. My idea ya kumkeep that busy ni kwa sababu niko nje so that is the only way naweza monitor, but nimependa ushauri wako!
 
What about if i sent it directly to her mkuu! But wazo zuri will try to look into it

Ukiliweka kitaasisi itakuwa rahisi kwako kumfuatilia mhusika pia itafungua njia ya watu wengine kujiunga na hiyo "scholarship fund" yako ili kusaidia na wengine
 

That is what most people fail to see, I have been there before an I know hoe difficult life can be in college. I am not going to give up i have made up my mind I will try to help kwa uwezo wangu nilionao!
 
Haa!! great thinkers wengi wetu huyu jamaa hatujamtendea haki, kwanini tuwe na mawazo ya namna hii juu yake? Kwa namna hii itatuchukua miaka mingi kusonga mbele, jamaa kama angetaka msichana wa kufanyanaye ngono siniwengi tu kwanini asumbuke? I am sure jamaa anataka kusaidia tusiwakatishe tamaa watu wa namna hii, tuache mhusika mwenyewe akiona msahada una agenda nyingine ya kingono ataachana nao, wazo lako zuri mkuu usikate tamaa.
 
niwie radhi arifu ila ndio ukweli aisee....afu mie siko majuu arifu nakula vumbi kama wewe mavumbini..

weekend hii mkuru StayReal utapata michango ya maana na nimeshaiona....ikifika jumatatu sahau mkuu.....
 
Huu uzi hapa JF si mahali pake peleka FB au kwa yule uncle wenu!
 
mods ondoa hii kitu hapa ,bora ungewasaidia omba omba

Na hao ombaomba waliosaidiwa Arusha na bado wakamchinja kinyama mfadhili wao utasemaje?
Noamba kufahamu elimu yako kwanza. Mi sijasoma sana, ila la saba nimefia na ninajua kusoma na kuandika and most of all, reasoning.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…