Simply put..kudos mkuu, kula likeHii ni jamii pana yenye mchanganyiko wa watu wa aina mbali mbali.....na sote kwa pamoja kulingana na michango ya hao wanajamii ndio tunaifanya jamiiforums iwe pahala pa kuvutia.......Jamii hii ina majukwaa mbali mbali kulingana na utashi wa mhusika.....ukiona hauendani na maudhui ya jukwaa husika....au hauendani na baadhi ya thread kwa viwango vyake.....ni vyema ukakaa kando....Msawazo kwenye jamii yoyote hauletwi kwa kupendezeana bali kwa kwa kuvumiliana......Ingekuwa mambo yawepo kama unavyotaka yawe basi JF kusingekuwa na member au kungekuwa na member wachache.......PENYE WENGI PANA MENGI.....
Sijasoma alfu unaniambia ni translate si dharau izo atumie lugha ya taifaJibu hoja mzee! Mbona unaleta dharau za kitoto
Umeambiwa tafsiri unaleta usengerema!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe great thinker au Great mburula!Sijasoma alfu unaniambia ni translate si dharau izo atumie lugha ya taifa
Huelewi nn nikikwambia nmeishia la 5B na kazi yangu ilikua kuiba vichongeo nitakuwaje Great thinker kma ww uliesoma enzi za division 5Sasa wewe great thinker au Great mburula!
Shule ulikuwa kilaza ukaishia awali!,jokes [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikutaka kuchangia uzi huu maana una sura ya kuwepo kwa mgongano binafsi wa mtoa mada na wahusika. Ili tukusaidie uishi vizuri humu jamvini funguka zaidi utujuze, hawa jamaa wanatafuta kusifiwa na nani? Na je wakisifiwa inakuathiri vipi wewe au watu wengine? Sifa za kijinga ni zipi? Je unamaana hata wanaowapa likes ni wajinga? Malizeni tofauti zenu nje ya forum itaonyesha busara zaidi.Kumetokea wimbi la vijana watafuta sifa na kiki hapa JF ambao wanatumia majukwaa kuandika vitu vya kijinga kwa manufaa ya kutafuta umaarufu na hao vijana ni
1.muosha rungu
2.Alonso14
Hawa vijana wanatafuta umaarufu na sifa za kijinga kama ....yule jamaa wa kule Dar naomba tuwapuuze hawa watu maana List zao nimelenga kuleta matabaka JF na chuki zisizo na msingi ..
Yangu ni hayo tu
Baby watu Wa namna gani !Ila wana umuhimu fulani hivi watu wa namna hiyo, na mchanganyiko kama huu ni wa kawaida mahali popote
Sent using Jamii Forums mobile app
At least umeongea pointIla wana umuhimu fulani hivi watu wa namna hiyo, na mchanganyiko kama huu ni wa kawaida mahali popote
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mim pia lete popcon
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Adabu cwez kusheka mbele yako
Mkuu.....Kuwa msomaji tu ni vzr zaid