Tuwapende wanyama!

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,373
Ili nao watupende..
IMG_20200719_151649.jpg
 
Pia mbwa wakikutwa wanafanya mapenzi watadondoshewa tofali la mgongoni wafe.
halafu huo ukatili sana,sijui kwanini tunawachukia hivyo,

Kuna jamaa yangu mmoja alinisimulia anasema walirudi home wakiwa na familia,ile kufungua geti tu akakuta mbwa wake wamenatiana na mwingine wa mtaani,akaona kama ameaibishwa,jamaa kwa hasira akaenda kuchukua sindano akaweka weka sumu akawachoma baada ya muda mbwa walikufa,ila anasema jinsi alivyoona wanateseka alijutia sana.
 
Duh!!!,Huo ukatili mbaya sana.
 
Ni wivu tu wakati na yeye ana mke.
 
Back
Top Bottom