Bavaria
Hizi safari safari zina mambo mengi sana. Tunaona mengi tu. Kama mume wako au mke wako anasafiri safiri. Kazi yako uliyebaki home ni kuomba sana. Sana tu. Muombe Mungu.
Vijana mjifunze kuandika vyema. Wakati mwingine mnaweza kuposti kitu chenye maana au kuhitaji ushauri wa maana (kama katika uzi wako uliouposti) ila watu hawatokuchukulia serious kutokana na jinsi ulivyoandika.
Ni ushauri tu, ukitaka uchukue ukitaka uache endelea na "x"
Mkuu nafanyia kazi andiko lako limenichoma sana huwa nikitoka kwenye michepuko yangu narudi namkuta wife namtizama nafsi inanisuta tu sijui ninachokosakwa wife lakini Mimi nimekubuhu kwa michepuko sijui ntabadilika vip