Tuwapende wake zetu. Nimeamini

Ila mwanamke kama ameolewa alafu awe na michepuko hapendezi hata kidogo....anakuwa kinyaaa
 
Huu upendo wako naweza uita "ahsante mchepuko"
hongera kwa kumpenda mkeo
 
Duh. Imagine ndio mke wako anaenda semina huko na anachepuka. What a waste?

Ndoa zisikie kwa jirani ila yakikufika utatamani uivunje leo.

Bavaria
Hizi safari safari zina mambo mengi sana. Tunaona mengi tu. Kama mume wako au mke wako anasafiri safiri. Kazi yako uliyebaki home ni kuomba sana. Sana tu. Muombe Mungu.
 

Kolelo
Umenichekesha sana. Kwa kweli baadhi ya wanaume wakitoka nje kwenye mchepuko wanatumia condom. Lakini mke wake hatumii condom. U wonder kutumia condom na kutotumia ipi tamu. Aisee mke raha sana.
 
Kolelo
Umenichekesha sana. Kwa kweli baadhi ya wanaume wakitoka nje kwenye mchepuko wanatumia condom. Lakini mke wake hatumii condom. U wonder kutumia condom na kutotumia ipi tamu. Aisee mke raha sana.
Ww nyama kwa nyama usipime yaan utamu wake mm nina miaka minne cjapiga kavu yaan hadi ss natamani nioe nifaudu MKE raha kaka we acha tu pole ynguu
 
Duh..sio rahisi hivyo Paulo. Mke anavyoheshimiwa ni ngumu kumwambia ati ume cheat..uaminifu utapungua automatic na pengine kila ukichelewa au makosa yanayoendana na hayo ataunganisha matukio. Afanye Ku mute tu..
Tena hawa wanawake wa kibongo akirogwa kumwambia kaharibu. Ni bora awe mpole kama maji ya mtungi
 
Ila ulielewa!

Hakuna kinachoeleweka.

Vijana mjifunze kuandika vyema. Wakati mwingine mnaweza kuposti kitu chenye maana au kuhitaji ushauri wa maana (kama katika uzi wako uliouposti) ila watu hawatokuchukulia serious kutokana na jinsi ulivyoandika.

Ni ushauri tu, ukitaka uchukue ukitaka uache endelea na "x"
 

Lol..
Ukioa.. Uje kuhakiki haya
 

Umegegeda muke ya mutu... jitayarishe na wako anagegedewa kiroho mbaya.
 
Umegegeda muke ya mutu... jitayarishe na wako anagegedewa kiroho mbaya.

True kaka. Na labda alishagegedwa. Kikubwa ni kumpenda sana sasa hivi ili hata huko nje asitamani. Akitaka kutoka nje atakuwa anajiuliza Mara mbili mbili.
 
"mpaka sasa nimekata mawasiliano ya visual na audio" as if unapiga kazi kwenye video production. sorry nimeenda out of point lakini i just find that line funny.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…