Tanganyikana
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,160
- 364
Yaan natamani na mm niwe mume wa mtu ili niwe nagegeda kila siku bila kondom tu
Yaan mke raha sana anakupikia chakula unachokitaka anakufulia nguo vizuri we ukiamka asubuhi unasepa tuu lkn ukirudi unakuta kila kitu kimepangiliwa anakupenda anakuliwaza yaan hta km ukukosa ela upati plesha kivile yaan we ukirudi unagegeda tu buleeeeee yaan na mm ntaoa aisee tena nkioa hta si msaliti mke wangu
Mkuu nafanyia kazi andiko lako limenichoma sana huwa nikitoka kwenye michepuko yangu narudi namkuta wife namtizama nafsi inanisuta tu sijui ninachokosa kwa wife lakini Mimi nimekubuhu kwa michepuko sijui ntabadilika vip
Na wote tuseme Aamin.
No. Sisemi.
Nice message bro. But I think this is more of a guilt conscious, than it is about the love for your wife. It will only get worse man, just confess to her, not us.
Nice message bro. But I think this is more of a guilt conscious, than it is about the love for your wife. It will only get worse man, just confess to her, not us.
Yaan natamani na mm niwe mume wa mtu ili niwe nagegeda kila siku bila kondom tu
Yaan mke raha sana anakupikia chakula unachokitaka anakufulia nguo vizuri we ukiamka asubuhi unasepa tuu lkn ukirudi unakuta kila kitu kimepangiliwa anakupenda anakuliwaza yaan hta km ukukosa ela upati plesha kivile yaan we ukirudi unagegeda tu buleeeeee yaan na mm ntaoa aisee tena nkioa hta si msaliti mke wangu
Kuna kaukweli..ila Anaanzaje kumwambia
Si ni mke wake? Atakuwa anamjua vizuri. So aandae tu mazingira.
Duh..sio rahisi hivyo Paulo. Mke anavyoheshimiwa ni ngumu kumwambia ati ume cheat..uaminifu utapungua automatic na pengine kila ukichelewa au makosa yanayoendana na hayo ataunganisha matukio. Afanye Ku mute tu..
Kama anaweza ku-mute ni poa. Ila hii post naona kama jamaa anajisikia hatia fulani.
Anyway, I was about to come clean about our affairs to Heaven Sent, but I'll take your advice and mute. It's over between us tho. I love my wife.
Pesa mdogo
That was the first thing. Nilienda naye angaza kwa kumshutukiza. Akagomaa kabisa. Yaani kabisa anasema hapimi. Next week nikamshikia kisu. Tukaenda. Bahati nzuri it was good news untill today.
NIMEKUPENDA XNA KAKA.mim pia n mwanandoa nna mwaja na nucu xaxa. umenipa funzo kubwa xna. j2 yangu imeng'aa xna. BARIKIWA
Sasa Minja,
Ulipojaza mi "x" si ungeweka tu "s"??????
Aixee! Acha kuwa hater baxi. Unakuwa kama sio 'amaizing'. YOLO