fursa mbalimbali katika soko la ajira inahitaji sana mtu mwenye kuweza kuongea na kuandika lugha ya kiingereza fasaha.
Si nilisikia kutoka kwa Watu wa Mamlaka ( Serikalini ) kuwa Interview ifanyike kwa Lugha aipendayo na aiwezavyo Anayesahiliwa? Imeshabadilika tena?Habari.
Kumekuwa na changamoto ya watu kulalamika maisha magumu.
Ila yotw juu ya haya kama mzazi unamtoto jitahidi sana uweke ubahili pembenj pelekeni watoto wenu English medium.
Leo hii kwenye interview tu kijana imekuwa ngumu kutumia hata dk 10 kujieleza kwa kiingereza.
Kwa muingiliano wa watu nchini na fursa mbalimbali katika soko la ajira inahitaji sana mtu mwenye kuweza kuongea na kuandika lugha ya kiingereza fasaha.
Rai yangu Tuwapeleke watoto wetu wakasome kiingereza.
Kiswahili ni kigumu kuliko kiingereza.Si nilisikia kutoka kwa Watu wa Mamlaka ( Serikalini ) kuwa Interview ifanyike kwa Lugha aipendayo na aiwezavyo Anayesahiliwa? Imeshabadilika tena?
Chuga gani unayoiongelea wewe? Wewe ndo mwongo unayeaminisha watu kwamba chuga kazi ni utalii peke yake. Unaongelea hao vijana wachafu wachafu wanaobebeshwa ndizi mji mzima na hao wazungu?Acha uongo we jamaa, unaishi dar? Embu ukuje uone huku Arusha kuna wareedii wanatema sana yai Ila hawana lolote la kujivunia kwa kujua hiyo lugha....
Mbona makasiriko ni ukweli chugga kiingereza sio ishuu kwenye ushindani wa kupata ajira.Watu wanajifunza izo alizotaja jumlisha kichina na kiarabu.Chuga gani unayoiongelea wewe? Wewe ndo mwongo unayeaminisha watu kwamba chuga kazi ni utalii peke yake. Unaongelea hao vijana wachafu wachafu wanaobebeshwa ndizi mji mzima na hao wazungu?.... kiingereza ni muhimu sana. Watanzania wengi hawakimudu iwe chuga au Ngudu. Pigana sana mwanao ajue kiingereza.
Sasa nimejua kuwa bado kuna wajinga kama wewe wanaoamini kwamba kujua kiingereza ni kutoboa kimaisha.Chuga gani unayoiongelea wewe? Wewe ndo mwongo unayeaminisha watu kwamba chuga kazi ni utalii peke yake. Unaongelea hao vijana wachafu wachafu wanaobebeshwa ndizi mji mzima na hao wazungu?.... kiingereza ni muhimu sana. Watanzania wengi hawakimudu iwe chuga au Ngudu. Pigana sana mwanao ajue kiingereza.
Mkuuu genta VIP Mani naona umeibuka na I'd hi kwa leoSi nilisikia kutoka kwa Watu wa Mamlaka ( Serikalini ) kuwa Interview ifanyike kwa Lugha aipendayo na aiwezavyo Anayesahiliwa? Imeshabadilika tena?
Mkuu,Habari.
Kumekuwa na changamoto ya watu kulalamika maisha magumu.
Ila yotw juu ya haya kama mzazi unamtoto jitahidi sana uweke ubahili pembenj pelekeni watoto wenu English medium...
Sio kutoboa maisha ila inasaidia kwenye harakati za upambanaji.Sasa nimejua kuwa bado kuna wajinga kama wewe wanaoamini kwamba kujua kiingereza ni kutoboa kimaisha.
Pole yako
Mshukuru Mungu wengine shule izoizo ila tulifundishwa kiingereza kwa kiswahili,mwisho wa siku kinanyookea mbele kwa mbele.Mkuu mbona sisi wengine tumesoma shule za serikali na Kiingereza tunaongea na kuandika vizuri tu kwa kiwango cha "The Economist" na "BBC World Service" ?
Hapo inakuwaje?
Mkuu acha kudanganya, Kiingereza ndio Kiswahili cha dunia katika ulimwengu wa sasa, hata Wahispania, Wajerumani. Wataliano, Wafaransa,Waholanzi,Wanorway nk wale ambao wanataka kuwa wa kimataifa na kuingia soko la kazi au ujuzi wa ngazi za kimataifa hujifunza na kuongea Kiingereza sembuse hao chuga zako wa Arusha.Acha uongo we jamaa, unaishi dar? Embu ukuje uone huku Arusha kuna wareedii wanatema sana yai Ila hawana lolote la kujivunia kwa kujua hiyo lugh....
Kazi inayopatikana Chuga ni za utalii peke yake? Hakuna shughuli zingine? Watu wote wa Chuga wanajua kiingereza? Huu ujauaji wa kifala ndo inafanya Arusha ionekane bangi tupu.Mbona makasiriko ni ukweli chugga kiingereza sio ishuu kwenye ushindani wa kupata ajira.Watu wanajifunza izo alizotaja jumlisha kichina na kiarabu...
Mimi sehemu kubwa ya kujua Kiingereza ilikuwa juhudi binafsi.Mshukuru Mungu wengine shule izoizo ila tulifundishwa kiingereza kwa kiswahili,mwisho wa siku kinanyookea mbele kwa mbele.
Nahisi utakuwa ni mtu wa kabila la wakinga, hujui lolote weweLugha ya Kiingereza ni ufunguo wa dunia kimaisha, nenda kokote utakuta lugha
😂😂😂😂Wanaokula maisha(watalii) wengi wao n wenye maisha ( waispaniola,wafaransa,waitaliano n.k) hawana muda wa kujifunza makingereza ila makapuku wenzetu wa mataifa hayohayo inabidi wajifunze na wao pia n tia maji tia maji kwenye kiingereza kama sisi tu.Mkuu acha kudanganya, Kiingereza ndio Kiswahili cha dunia katika ulimwengu wa sasa, hata Wahispania, Wajerumani. Wataliano, Wafaransa,Waholanzi...