dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,777
No ujali sna utarud umeme Ni mwingine Hadi vitu Hadi unamwagika tulia hitilafu ndogo sna hyo na hi Ni kutokana na wingi wa megawatt kwenye grade ya taifa [emoji93]Wapi wewe huku ushakatika mara 2?
Bora leo naona iko vzr mama kaupiga mwingiHujui kesho itakuwaje
Wapi wewe huku ushakatika mara 2?
Hivi machawa uwa mnalipwa?Bora leo naona iko vzr mama kaupiga mwingi
Ndio hapo umeme umekuwa mwingi Hadi inaharibu vipoozeo na kuleta short za Mara kwa Mara kumbuka huo Ni megawatt 235 Hali imekuwa hvyo wakiwasha mtambo namba 9 s balaa vifa na vyombo vyetu vya dhamani itaharibikaaHapa nilipo haupo. Juzi walikuwa wanakata na kuzima
Mm siyo chawa tafadhali bint depalHivi machawa uwa mnalipwa?
Asante mkuu wamekusikia mkuuNi wajibu wao kuhakikisha adha hiyo aipo. Lasivyo waruhusu ushindani.
Una uhakika?Hhuko njiro naamini haujakatika
Kbsaa beberu tupaze sauti hapa mam alifanyie Kaz hiliKweli aisee, waweke bei ya 10000 upate unit 40, na iwe flat rate kwa taifa nzima,
Kisha wahakakikishe kila kijiji kina umeme
Mm Nina taarifa kutokeaa tokeaa kijengee Hadi SDA kulelekea atomic umeeme upo wa kutosha Kama Ni hitilafu Basi Ni kwa maeneo machache sna ya engutotoUna uhakika?
Engutoto ni Njiro? Kwahiyo wa CRDB kuja BP, sio Njiro?Mm Nina taarifa kutokeaa tokeaa kijengee Hadi SDA kulelekea atomic umeeme upo wa kutosha Kama Ni hitilafu Basi Ni kwa maeneo machache sna ya engutoto
Then na wewe namba ya simu hapo mwisho umeweka ya nini?Ni week Sasa imepita bila kuona adha yoyote ya umeme Ni mwanzzo mwisho mzigo upo Hadi nimekosa Cha kufanyia huu umeme yaani Ni full kuteleza na hi Ni baada ya kuwasha mtambo namba nane wa megawatt 235 na Sasa nimeamini kuwa kulikuwa Kuna shida ya upungufu wa umeme ktk mitambo yetu ya zamani
Sasa najiuliza ikiwashwa ule namba Tisa wakutoa nao megawatt 235 manake Ni Kwamba kutakuwa na Ziada ya megawatt 70 isiyo tumikaa popote pale ,kwa mujibu wa taarifa ya Tanesco na wizara kulikuwa na upungufu wa megawatt 400 tu na Sasa tumepewaa megawatt 235 na Bado mam wetu anakweda kuwasha zile megawatt 235 mtambo namba 9 March hi
Sasa piga hesabu vzr 2115-470 = 1645 hzo zote Ni megawatt ambazo zitakuwepo bila kutumika popopte pale
Basi mam wetu ikikupendeza shusha Bei ya umeme angalau ule wa elf kumi tuwe tunapata unit 40 badala ya 28 ya Sasa hivi
Kwa kufanya hvyo kura yangu ya 2025 nitakupaa na family yangu yote itakupigia kura uendee kuendeleea kula raha ktk kiti kikuu Cha ikulu
Jamani mnyonge mnyongeni Ila haki yake tumpe mama hapa kapambana mno
Mm nilijuwaga msanii fln tapeli hv kumbe yuko serious
Kwa SAS safarini mabibo DSM
0759085510