DahNina uhakika Ruto atashinda kwenye hii kesi. Na kama Ruto hatashinda hii kesi narudia Tena ntatembea uchi hadharani siku tatu mfululizo halafu najiua
Kitakachomuangusha Ruto ni sheria ya 50%+1 vote. Hakufikisha.Nina uhakika Ruto atashinda kwenye hii kesi. Na kama Ruto hatashinda hii kesi narudia Tena ntatembea uchi hadharani siku tatu mfululizo halafu najiua
Dadavua.Kitakachomuangusha Ruto ni sheria ya 50%+1 vote. Hakufikisha.
Jina lako lenyewe feki, halafu unatupa ahadi za uongoNina uhakika Ruto atashinda kwenye hii kesi. Na kama Ruto hatashinda hii kesi narudia Tena ntatembea uchi hadharani siku tatu mfululizo halafu najiua
Kama watamuonea Ruto nakumpokonya ushindi wake halali mark my words kabla ya kujiua na kutembea uchi siku tatu mfululizo nitakunya na kutapanya marvey Kila Mahali KUACHA laana mbaya kwa Raila na wafuasi wake woteJina lako lenyewe feki, halafu unatupa ahadi za uongo
Kama watamuonea Ruto nakumpokonya ushindi wake halali mark my words kabla ya kujiua na kutembea uchi siku tatu mfululizo nitakunya na kutapanya marvey Kila Mahali KUACHA laana mbaya kwa Raila na wafuasi wake wote
Hiyo kitu haipo na haitokaa itokee katika ulimwengu wa sasa.Hakuna Kiongozi mwenye hizo guts za kuchinja wenzie na akabaki salama hayupo na hasa kwa Kenya,unless anataka yale ya 2007 yajirudie tena na Nchi isitawalike kabisa.Sema shetani anapenda sifa sana. Ruto alikuwa keshasamehe, ila sasa wamemchokonoa. Hakika akishinda hii kesi anahitaji kuombewa mno maana anaweza kugeuka kuwa chinja chinja mpaka balaa. Tatizo la Odinga anajiona kama yeye alistahili
Kujiua tena [emoji3][emoji3]Nina uhakika Ruto atashinda kwenye hii kesi. Na kama Ruto hatashinda hii kesi narudia Tena ntatembea uchi hadharani siku tatu mfululizo halafu najiua
Nadhani ili kuepusha sintofahamu za wenzetu Wakenya ambao Demokrasia yao wanasema iko juu, Majaji watangaze kuwa matokeo ya urais ni void hivyo urudiwe kwa hawa vinara wawili Raila Odinga na WilliamRuto. Hilo litaokoa taifa la Kenya kutoingia kwenye vurugu.Mutuombee…’’ majaji watoa wito huo wanapojitayarisha kutoa hukumu yao
Maelezo ya picha.
Majaji wa Mahakama ya Juu Zaidi watatoa uamuzi wao Jumatatu 3 Septemba 2022.
Kusikilizwa kwa kesi ya kupinga matokeo ya urais kumekamilika Ijumaa huku Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu akitoa ombi la kuwaombea majaji wanaporejea kufanyia kazi kuandika na kutoa uamuzi wa kesi hiyo.
“Mutuombee tunapoanza awamu inayofuata. Sio sehemu ngumu sana lakini inahitaji umakini wa hali ya juu na kwa sababu hiyo tunakuomba utuombee Mungu atusaidie tuendelee katika ari ile ile tuliyokuwa nayo katika mwaka mmoja uliopita na tuwe na utambuzi wa hali ya juu sana, tutarudisha kwa Kenya hukumu ambayo si tofauti na kile ambacho Wakenya wanatarajia,”
Mwilu alisema.
Hupo mkuu? SI nilikuambia siku ile Raila hatashinda na hatatangazwa mshindi kwenye uchaguz wa Kenya? SI uliona na jumatatu vilevile huyo baba yenu ataangukia pua tena.Kujiua tena [emoji3][emoji3]
Nina uhakika Ruto atashinda kwenye hii kesi. Na kama Ruto hatashinda hii kesi narudia Tena ntatembea uchi hadharani siku tatu mfululizo halafu najiua
Humu ndani jamvin mna vituko. Yani hamkosi comment za kukera za kumjibu mtu. Sasa huyo mpemba maamae ajitokeze huo mkono ntakavyoutembeza maamae kabla ya kujiua.Kuna Mpemba hapa kaomba kujua utapita barabarani gani Ukiwa uchi ili akuone na muongee mawili matatu ikiwezekana afike dau