Tuwaombee sana Mozambique

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,331
Reaction score
38,689
Maombi n silaha
Kama alivyokuja nchini Rais wa Mozambique aliomba tuwaombee

Matokeo yametoka ya uchaguzi Gen z wako barabarani siku ya 14 leo

Ofisi zimefungwa

Biashara zimefungwa
 
Maombi n silaha
Kama alivyokuja nchini raisi wa mozambiki aliomba tuwaonbee

Mattoke ya.metoka ya uchaguzi gey z wako barabaran siku ya 14 leo

Ofisi zimefungwq

Biashara zimefungwa
Je, umeshawahi kufika Msumbiji??

Hali tete ya maisha iliyopo Tanzania ni sawa sawa kabisa na jinsi hali ilivyo nchini Msumbiji.
We're in the same boat.

Njia pekee kabisa iliyopo ili kuweza kuleta mabadiliko katika nyanja zote kabisa za maisha ya Wananchi wa Msumbiji ni kuiondoa kwanza FRELIMO kutoka madarakani kwenye nchi hiyo, na kamwe FRELIMO haiwezi kuondolewa madarakani kwa njia za kidemokrasia.
Tuwaombee Wananchi wa Msumbiji ili wafanikiwe kwenye suala lao hili wanalopigania.
 
Waafrika wengi wameanza kujitambua.wamebaki watanzania tu kuburuzwa na CCM.Mfumo wa elimu wa Tanzania uangaliwe upya maana haiwezekani waafrika wengine Wadai haki zao lakini sisi Huku uchawa ndiyo unazidi ili kuendelea maovu ya ccm
 
Hali waipendayo chadema kwa moyo mkunjufu imewakumba wana Mozambique pole yao!
 
hakukaliki hakufai naona boda zetyu soon zotajaa wakimbizi wa huko
 
Maombi n silaha
Kama alivyokuja nchini Rais wa Mozambique aliomba tuwaombee

Matokeo yametoka ya uchaguzi Gen z wako barabarani siku ya 14 leo

Ofisi zimefungwa

Biashara zimefungwa
No justice, no peace.

Hakuna maombi yanayoweza kubadili ukweli.

Botswana chama tawala kimepigwa chini na wananchi baada ya kutawala kwa miaka 58.

Uchaguzi umeisha, kimeshika nafasi ya nne.

Rais kakubali kushondwa.

Hakuna fujo na wala hawahitaji maombi huko.

Matatizo ya kutengenezwa na watu yanatatuliwa na watu hao hao kuyayambua na kuyafanyia kazi.

Si maombi.
 
 chaguolakootu
 
Hakuna hata video au picha kusindikiza uzi wako
 
Zamu ya Tanzania inakaribia si muda mrefu.

Watu wameshachoka mtaani huku, mambo ni mabaya serikali haijui kuhusu watu wa hali ya chini, kodi kubwa kazi na ajira hakuna nchi imekuwa ya madalali na wanasiasa tu.

Ngoma ikivuma sana ujue inakaribia kupasuka.

Ila vyama vya upinzani vijitahidi kutengeneza sera nzuri zaidi zinazohusu maisha yetu wananchi kuliko kuhusu maisha ya viongozi wa upinzani.

Tunahitaji vyama viwe NaN sera za kueleweka zenye malengo na nchi vijana tupate pakuanzia.
 
Nawaunga mkono Gen Z wa Msumbiji! Labda na matilatila ya kwetu yatajitambua!
 
Ngozi nyeusi tulishanyimwa akili so hata aje atuongoze malaika bado kuna watu watalalamika but all in all mitano tena
 
Taratibu Mkuu acha uongo,.Tanzania kamwe hatuko sawa na Msumbiji,we're not in the same boat.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…