Tuwakatae wanasiasa watawala wanaochochea udini - JF shujaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuwakatae wanasiasa watawala wanaochochea udini - JF shujaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bluetooth, Jan 28, 2011.

 1. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  As Tanzanians live and work in harmony, CCM leaders are promoting religious hatred at night but preaching peace during daytime

  "Reject Politicians' religious rhetoric"

  My fellow Tanzanians, we have only one duty, to reject CCM`S rhetoric that insinuates the mythical religious division among us, let us reject this hawkish talk with all our strength and all our minds, in Tanzania people from different ethnic groups, religions and races co-exist in harmony and brotherly love despite of challenges such as poverty and unfortunately wanting leadership (Mafisadi)

  Some Chama cha Mapinduzi leaders appear to be the main sponsors of religious division talk designed to divert people`s attention from serious issues, Perhaps the CCM stalwarts think that by dividing Tanzanians they can bulldoze us forever…. They are mistaken

  The CCM ideological and philosophical fountain is kaput today…faced with political and intellectual bankruptcy to diverse religious rhetoric as the last tactic to knot out its opponents…we saw it against cuf and now we see it against CHADEMA, No one expected the Arusha fracas to fan religious talk…but CCM pushed it that way anyway

  To justify this..,have a tour and taste this piece of cake brother

  First, a CCM leader defended his point using a religious book.., and a clergyman responded emotionally ., another CCM leader hit back.., sheikh countered, bishops remained adamant.., then funny enough somebody sponsored sheikhs to stage symposium. we are now being taken for a ride with our leaders telling us there is a problem without any elaboration

  At last Tanzanians will still remember how CCM lured some priests into preaching that their presidential candidate was "God`s choice" a childish comment that no one would have expected from people like them…..

  As Nyerere once cautioned : CCM is not my mother, God bless Tanzania

  The Citizen, 28/01/2011 - Mr. Matinyi is a consultant based in Washington
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  very well said

  hapa JF Ksasa hivi kitu kama hichi ndicho kinchoendelea, naomba tuwe makini sana
   
 3. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  kama .... JK mwenyewe alithubutu kutamka hili basi...kweli CCM imefikia mwisho au kama mwandishi anavyosema Kaput .....Tambwe Hiza naye tumemwona kwenye midahalo nae amedhihirisha kuishiwa itikadi na sera....

  hapa JF pia tuna wengi kama zomba(banned) ,muhogomchungu, mwiba, Topical, CITYBOY na wengine wengi wanafanya hii kazi kwa nguvu kubwa ..ninaamini kwamba hawafanyi tu kwa kuichukia CHADEMA bali wanaweza kuwa wanapata maslahi fulani kwa kulipwa malipo ya kazi hii... naomba tuwatafutie dawa murua
   
 4. e

  elimukwanza Senior Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  umesema vema tuwakatae kabisa na tuwaulize huo udini unaosemwa uko wapi na watuonyeshe hizo output za intelejensia walizofanya maana hata waziri mkuu pinda alisema kuna vyama vimeishaanza kuleta dalili za udini aulizwe aseme ni chama gani hicho na kinahusishwa na dini gani wawe wa wazi ndiyo tutapata majibu.
  maana haiwezekani Rais wa nchi unasema kuna udini halafu uchukui hatua,uwezi kukimbia kivuli chako una intelejensia ya kutosha chukua hatua siyo kuwaweka less knowlegeable peole in hurry?.Mimi nasema mtu ata akificha sasa baadae itajulikana tu.
   
 5. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,611
  Likes Received: 4,719
  Trophy Points: 280
  Hata tukiwakataa wanachakachua kura ili wabaki madarakani. JK ndiye chachu ya udini unaojitokeza hivi sasa na ndiye mfadhili wapiaga debe wa udini hata JF wapo, hawa watu wako kwenye payroll ya JK. Sina haja ya kuwataja lakini hapa JF wanafahamika.
   
 6. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Unajuwa wana JF niwaambie kitu kimoja hii hoja ya udini haina mashiko wala mvuto kwasababu imeegemea upande mmoja ikaacha upande wa pili. Udini utaendelea kuwapo mpaka watu wawe wawazi na dhamira zao. Hebu jiangalie wenyewe ijapokuwa hamjistukizii wanasiasa mnaotuhumu wadini wote ni waislamu!!!! Wanasiasa wote mnaowapinga ni waislamu sasa je udini kwenye vichwa venu ni UISLAMU?????

  Ninachowashauri ni hivi kwanza ili waislamu wawasikilize:-

  a. Tunaomba definition ya udini ni kitu gani?

  b. Tunaomba majibu ya lawama za waislamu kuhusu jitihada za Nyerere na wamissionari kuhusu kuwakandamiza waislamu zijibiwe?

  c. Waislamu wajibiwe kuhusu bilateral agreement between Vatican na Tanzania ilikuwa ipi?

  d. Tunaomba vigezo vilivyotumika kuandaa MOU baina ya serikali ya Tanzania na Kanisa vilikuwa vipi na kama ni jamii basi what about EMAWS iliyokuwa imeanzisha taasisi mbali mbali vilikufa au kurithiwa na Bakwata na vikafilia mbali je kwanini nao wasikubaliwe au kushirikishwa katika kuandaa hiyo MOU au kujumuishwa katika MOU ili tufaidike wote???

  e. Vigezo gani mnavyovitoa kukataa mahakama ya kadhi? Je waislamu si walipa kodi? Je hawadeserve kupata huduma ya mahakama from the government?

  Ijapokuwa udini mnadai unapigwa vita it does not prevent someone to see or agree to what is happening to him/her in front her/his eyes. Tukae tukijua utaficha mtu but mwishoe ataona mwangaza na kupenya. Ni vema hivi vitu vifanyiwe taratibu kurekebisha kama wenzetu South African wanavyofanya. Wapeni nafasi waislamu wakishindwa ijulikane wameshindwa wenyewe na sio hawawezi "The so called Mswahili syndrome". Najua maneno haya yanawauma ndugu zangu wakristo but mkae mkijua kelele hizi ni kama vile MNAPIGIA MBUZI GITAAA !!!! In short crap!!!!!!! Weekend njema!
   
 7. V

  Vumbi Senior Member

  #7
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu nadhani uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Haya maswali waulize CCM waliokutawala kwa muda wote sio unawapigia wakatoliki kelele huku ukiikumbatia CCM eti kwa sababu kiongozi wake ni mwisilamu. Yaani mnanishangaza kweli mnaikumbatia CCM usiku na mchana huku mkiitukuza then pembeni mnalalamika mnakandamizwa, kwani hamuoni anayewakandamiza ni huyo mnayemkumbatia. Nawaambia mkiendelea kuikumbatia CCM mtakuwa masikini kuliko raia yeyote duniani. Unauliza uhusiano wa tanzania na vatican mbona hujauliza uhusino wa tanzania na Saudi arabia au Iran au Pakistani etc haya ni mataifa yanayoendeshwa kwa misingi ya udini nayo yanakuja hapa kwetu kufanya nini?. Tanzania imeongozwa na chama kimoja tu CCM kwama mnamatatizo mkaiulize hiyo CCM itawapa majibu mnayoyataka tena kwa sasa kinaongozwa na wenzenu ambao wanaweza kuwapa majibu mnayoyataka na kwanini waliwafanyia hivyo.

   
 8. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  mkuu... mdondoaji..... ningependa uangalie hii makala kwa umakini au nikuazime gazeti la The Citizen usome makala yote utafurahi

  utaona mwandishi wa makala hii amekua makini sana kwa kuchambua hoja na hali halisi bila kutaja dini yeyote ile wala kitabu chochote kile...kwanini tusijadili hoja hii ya kuchochewa kwa udini na viongozi wa sisiem bila kutaja dini fulani kwa kigezo kwamba lengo la hawa jamaa ni kutuondoa ku discuss important issues na ukizingatia sisiem is now kaput kisiasa
   
 9. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Haya mnaanza tena badala ya kunijibu maswali yangu unaanza kunishambulia nimekosea wapi? Nani mwenye uwezo finyu wa kufikiri mimi au wewe? CCM inahusika vp wakati tulikuwa na chama kimoja kabla ya mwaka 1995? Sasa nani mwenye uwezo finyu wa kufikiri? Kuna mambo nyerere amewafanyia waislamu hawatamsahau ngoja nikudondolee kuna article kaitafute imeandikwa na bwana mmoja anaitwa Issa Ziddy (PhD) kuhusu maisha ya Sheikh Hassan bin Ameir Al-Shirazy. Katika page hii muandishi amesema hivi:-
  "
  However, Shaykh ˘asan b. fiAmayr was not only active
  with respect to the development of Muslim organizations in
  Tanganyika, but also worked for the establishment of an
  Islamic university in Tanganyika. In 1964, he was, thus,
  among the Muslim scholars of the EAMWS who visited
  Islamic countries such as Egypt, Iraq, Lebanon and Syria, in
  order to ask for support in educational matters. On 20 May
  1964, they returned home with the good news that the
  Egyptian government would donate 55 million Egyptian
  pounds to build an Islamic university in Dar es-Salaam. But
  the political situation had changed
  , and because of that,
  ‘Shaykh ˘asan was convinced by his friend and closest
  student, Shaykh Mzee b. fiAlı, a Comorian living in Kariakoo
  in Dar es-Salaam, to change the content and method of
  delivering his khu†bas [sermons] and darsas by not touching
  political issues any more'.12
  Now, many sources, even Muslim texts, magazines,
  newspapers, audio and videocassettes as well as books
  written by missionaries claim that Shaykh ˘asan b. fiAmayr
  was a politician. Also his name and pictures appeared more
  then once in the documents of the Tanganyika archives on
  the activities and struggles lead by the first political party of
  Tanganyika, the Tanganyika African Association (TAA) as
  well as the Tanganyika African National Union (TANU) as
  Mohamed Said was able to show.13 Said also maintains in
  this context that the cause of Shaykh ˘asan b. fiAmayr's
  deportation to Zanzibar in 1968 was political
  . However,
  some students and murıdün (followers) of Shaykh ˘asan
  12 Conversation with Bi Bahia bt. fiAbd al-Ra˛mn, October 2002.
  13 See Mohamed Said, The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-
  1968), London 1998.
  8 ISSA ZIDDY
  such as Shaykh Amür b. ˘asan b. fiAlı and Shaykh
  Mu˛ammad b. Kombo reject this interpretation of a strong
  political inclination of Shaykh ˘asan b. fiAmayr. They rather
  claim that he was not a politician and that his aim was the
  struggle for Muslim education, Muslim rights and unity. He
  is said to have always refused to become a minister or even a
  local sheha (chief): ‘Shaykh ˘asan did not involve himself
  in politics, but some of his students were politicians. They
  invited him sometimes to say the Fti˛a at the end of their
  political meetings. Also some of them sought his advices, as
  in the context of the TAA memorandum [with respect to
  Tanganyika's independence]'.14
  According to Said, Muslim unity in Tanganyika started
  to collapse after independence
  .15 Thus, a well known student
  of Shaykh ˘asan b. fiAmayr, Shaykh fiAbdallh Chaurembo,
  who used to teach Shaykh ˘asan b. fiAmayr's students
  during his visits to his other centres, started a conflict with
  Shaykh ˘asan b. fiAmayr on account of political questions.
  Due to these internal conflicts among Tanganyika's Muslims,
  the plans to start an Islamic university came to nothing
  and the EAMWS came to an end as well, although Shaykh
  ˘asan b. fiAmayr tried to support this umbrella organization
  of Tanzania's Muslims. In this period of time, they were
  essentially divided into two different groups: one that
  supported government ideas without questioning whether
  these ideas were ˛all or ˛arm according to Islamic points
  of view; and one that supported government policies only
  when they were ˛all
  . On account of these political problems,
  many shaykhs were imprisoned under the ‘Preventive
  Detention Act of 1962', while Shaykh ˘asan b. fiAmayr was
  deported to Zanzibar in 1968.16
  It is clear that Shaykh ˘asan b. fiAmayr was very influential
  in Tanganyika politics, although his primary concerns
  14 Conversation with fiAlı Mzee, 2002.
  15 Said, Life and Times of Abdulwahid Sykes, 368.
  16 Said, Life and Times of Abdulwahid Sykes, 368 & 370.
  ˘ASAN B. ‘AMAYR AL-SHIR◊Zˆ 9
  were education and development for all Muslims of East
  Africa. His thought also concentrated on the question how to
  strengthen the unity of Muslims. Thus, his students came
  from different madhhib (Islamic legal schools) and he did
  not discriminate between Shıfia, Sunni, Ib∂ı or other groups
  such as Sufis or Ansr as-Sunna (Wahhbı-oriented
  Muslims), but rather accepted all students. On account of
  this principle, he was also an active member of al-Jmifia al-
  Islmiyya and al-Dafiwa al-Islmiyya as well as the East
  African Muslims Welfare Society (EAMWS). By joining
  and supporting these societies, Shaykh ˘asan was able to
  visit many countries and to practice dafiwa for Muslims as
  well as non-Muslims. A student of Shaykh ˘asan b. fiAmayr,
  Shaykh Rama∂n b. Jafifar, thus told me that Shaykh ˘asan
  had actually converted 7 million (sic) people to Islam.17 This
  insistence on the importance of education was to continue,
  according to his students, until his very death.
  However, after the Arusha Declaration in 1967, the
  EAMWS started to split
  . Some Muslims such as Shaykh
  Adam Nasibu of the Bukoba district office of the EAMWS
  even said that socialism as proclaimed in the Arusha Declaration
  was equivalent to the teachings of the Qur√n. The
  nationalist newspaper, Uhuru, as well as the governmentcontrolled
  Radio Tanzania/Dar es Salam praised this group
  of Muslims for their progressive minds.18 Yet, other
  Muslims rejected this interpretation
  . As a result, conflicts
  between Muslims spread and although Shaykh ˘asan b.
  fiAmayr tried to preserve the union and the work of unification
  as achieved by him and other scholars, he became
  older and was not able any more to influence these changes
  in society, that had been introduced after independence.
  In 1968, the Muslims in Dar es-Salaam became even
  more divided. Thus, instead of having one centre for mawlid
  celebrations (for the birthday of the Prophet Mu˛ammad), as
  17 Conversation with Shaykh Rama∂n b. Jafifar, 2002.
  18 Said, Life and Times of Abdulwahid Sykes, 328.
  10 ISSA ZIDDY
  in the colonial times, they now held mawlid celebrations in
  two different places, namely Mnazi Mmoja and Ilala. This
  dispute gave their enemies the chance to exploit their divisions.
  In the course of 1968, the EAMWS disintegrated even
  further, when the leaders of the Bukoba district of the
  EAMWS left the organization to be followed by the Tanga
  and Iringa regions. The EAMWS headquarters tried to fight
  this escalation, but the promises the government made to the
  opponents of the EAMWS made these efforts with respect to
  the unity of the EAMWS futile. The EAMWS dissidents
  who left the organization with government support, thus said
  that if the EAMWS was to be re-structured it should be done
  under their own conditions. These conditions were not only
  difficult to meet but also quite controversial as they violated
  against basic principles of Islam as well as against Shaykh
  ˘asan b. fiAmayr's ideas. Some of these conditions were:

  1. The EAMWS was to be reserved for Tanzanians only
  and should exclude other East Africans.
  2. The Aga Khan was to be regarded as a foreigner, and
  thus not acceptable as a patron of the EAMWS.
  3. The Secretary General of EAMWS should be a black
  African and not an Indian (as this position was held, at
  that time, by an Ismfiılı Indian, fiAbd al-fiAzız Khaki).
  4. The sources of funds and expenditure of the EAMWS
  should be clearly shown.
  5. The leaders of the EAMWS should be supporters of
  TANU's political objectives and ideologies.
  These conditions were sent to the EAMWS headquarters by
  Shaykh Adam Nasibu, Mu˛ammad Zharia and Khamıs
  Kayamba19 and an emergency meeting of the EAMWS was
  held on 14 November 1968 to discuss the situation, whilst at
  that time three Tanganyika regions had already left the organization.
  Great efforts were made to save the situation and to
  19 Said, Life and Times of Abdulwahid Sykes, 330-5.
  ˘ASAN B. ‘AMAYR AL-SHIR◊Zˆ 11
  maintain the unity of the society, but the opposition was too
  strong and the work of a committee of investigation that had
  been formed to stop the disintegration of the EAMWS did
  not get the opportunity to complete its work. Also, the
  efforts of two prominent Muslims, namely Bibi Titi and
  Tewa Said Tewa, who were members of the TANU, to save
  the society, came to naught. Finally, Shaykh ˘asan b.
  fiAmayr undertook some last efforts to secure public solidarity
  for the unity of the EAMWS by advising its members
  not to break with EAMWS on account of its benefits for
  Muslims, for their country as well as future generations, and
  maintained that preserving unity was as important as
  worship.
  Yet, in early December 1968, a special committee under
  the chairmanship of a well known student of Shaykh ˘asan
  b. fiAmayr, Shaykh fiAbdallh Chaurembo, was formed, with
  Shaykh Adam Nasibu as the secretary general, in order to
  obstruct the work of the EAMWS. By 3 December 1968, it
  was obvious that the union of the Muslims in East Africa
  was defunct. The group that had separated from EAMWS
  was ready to take over the high Islamic leadership of
  Tanganyika by any means. The only thing that prevented
  them from doing so was the presence of Shaykh ˘asan b.
  fiAmayr in Dar es-Salaam as the Muslims in the whole of
  East Africa respected Shaykh ˘asan b. fiAmayr as their
  spiritual leader. Thus, the time had come for the Tanzanian
  government to use its power to complete the task of destroying
  the EAMWS, by forcefully deporting Shaykh ˘asan b.
  fiAmayr to Zanzibar.
  Shaykh ˘asan had, thus, lived outside Zanzibar for
  more than 24 years. In 1968, the government of Tanzania
  returned him against his will to Zanzibar, where he now
  continued to work in the court of reconciliation in Raha
  Leo/Ng'ambo.20 In Zanzibar, Shaykh ˘asan b. fiAmayr
  20 Hafidh, Shaykh Hassan bin Ameir, 5. For further information on the
  reasons of Shaykh ˘asan b. fiAmayr's deportation see Said, Life and
  12 ISSA ZIDDY
  continued to live for more than ten years in the circle of his
  family, his students as well as other famous scholars, till the
  end of his life. He died on a Monday, 8 October 1979, in
  Michenzani/Zanzibar, block number 8, house number 40,
  and was subsequently buried in his home village of Makunduchi.
  His funeral was attended by the largest crowd ever
  seen in Makunduchi, among them some prominent people
  from Tanzania and other parts of Africa and the rest of the
  world. Thus, Shaykh ˘asan b. fiAmayr may have died, but
  his ideas, writings and books are alive.

  Kwa anayependa kujisomea zaidi anaweza kuclick link hii hapa chini.

  http://www.smi.uib.no/sa/16/16Ziddy.pdf
   
 10. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nitaisoma mkuu,

  Nafahamu vizuri dhamira za viongozi wa CCM ni kudistract attention ya wananchi dhidi ya hoja ya ufisadi inayowamaliza kisiasa but yeyote atakayekuja ni vema akalitatua hili jambo. ingelifaa hata reconciliation committee ingeliunda kulipatia ufumbuzi ni vuguvugu inayoendelea chini kwa chini. Ni vema watu wakawa waangalifu amasivyo hatujengi bali tunabomoa zaidi sijui umenielewa brother?
   
 11. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  kaka... nimekusoma 100kg..
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Madai ya waislamu yatakuwepo iwepo cuf, cdm or ccm?serikalini

  Tunachodai ni cha msingi na haki, wala haya madai hayaachwi hata aingie padre ikulu

  Ikifika siku itatumika any means necessary, as for now elimu understanding first, majority do understand

  Udini upo, tena upendeleo kwa wakristo uko wazi maofisini, tulishapeleka evidence kwa serikali mara nyingi lakini kama kawaida

  Wengi wa maofosa serikalini ni wakristo kwa makusudi wana distract issues kwa dharau..

  mwisho wa siku haki itapatikana by any means necessary.
   
 13. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280

  topical...hataukigeuza vipi hii mada ......itabakia na point ile ile...angalia mtoa makala alivyo makini...hajataja dini ya aina yeyote...yeye anaainisha michezo michafu ya uchochezi wa dini kupoteza concentration ya wananchi ku discuss serious issues kama unavyofanya wewe

  hicho hutafanikiwa kamwe
   
 14. T

  Topical JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mtakwepa ukweli hadi lini?

  Mtoa mada anazungukazunguka tu, lakini tunajua anataka kuwanyanyamazisha kina nani?

  Haisaidii..udini upo na wakati muafaka kuuzungumza kama taifa.
   
 15. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  yawezekana hata hiyo mada hujaielelewa vizuri kutokana na ukomo wa uelewa na akili yenye ncha kali....huu sio muda wa kuzungumzia udini..... ni kuukemea na kuachana na mbinu chafu za walioishiwa siasa na sera na kutumia udini kwa maslahi yao
   
 16. T

  Topical JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hapo ndipo tunapotofautiana na mto mada!

  Hakuna mbinu chafu kwenye swala la udini ni swala la mwanasiasa kusema ukweli for that case JK kasema ukweli

  Wanaokataa kama mwandishi ndio wanalitumbukiza taifa hasarani..kwa makusudi (mbinu chafu)
   
 17. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu,
  Nimeisoma na nakubaliana na mwandishi kuwa it is a political distraction. But vile nasupport hoja ya Professor Mihanjo namnukuu, " poverty creates a conducive environment for religious ideologies and leaders to rally behind the disadvantaged groups. He sees a real threat to national unity if the state does not properly play its rightful role".

  Sasa serikali yetu iunde a team of expert kulitatua hili badala ya kulichochea moto ili haki itendeke. Tukubali kufanya maamuzi magumu mfano kuwa na some sort of priorityto muslims katika sekta fulani ili kuweka uwiano. Venginevyo the level of distrust amongst ourselves is growing there is no doubt about it.

  Wacha niende nikafurahi kinywaji hiki cha kijangwani huku sahara wanaita wenyewe White Bull weekend njema!
   
 18. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hapa nakuunga mkono Topical tukubalini ukweli kuwa waislamu walikandamizwa.
   
 19. V

  Vumbi Senior Member

  #19
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hawa viongozi waliopo CCM ndio waliokuwa na chama tangu enzi za TANU na kuundwa kwa CCM 1977 na wametawala taifa mpaka leo hii. Inamaana CCM wanajua kama kuna watu waliodhulumi au kunyanyaswa na wanawajibu wa kujibu hilo kwani hakuna watu wengine waliowahi kutawala TZ zaidi yao. Huwezi kutoa malalamiko ambayo hujui unayemlalamikia ni nani, kama ni serikali basi waliotawala miaka ya nyuma na wanaotawala sasa wapo waulizwe wajibu hoja na siyo watu wanalalamikia rai wenzao huko wakiogopa kuigusa serikali ambayo ndio mhusika mkuu. Bahati nzuri raisi anayetawala alikuwa kiongozi ndani ya CCM tangu miaka ya sabini hivyo kama kunadhuluma anazijua then aziweke wazi kwa mamlaka aliyonayo ili kila raia ajue na aliye dhulumiwa apewe haki yake. Sioni sababu ya kulalamika huku unaogopa kupambana na aliyekudhulumu kama serikali ipo , CCM ipo na sehemu ya waliotawala tangu uhuru wapo waulizeni hao na siyo kuwasumbua raia wasiojua hata mnacholalamikia ni nini. Kulalamikia raia wa kawaida kuhusu dhuluma ya watawala haiwezi kusaidi chochote wewe pambana na watawala waliokudhulumu kama unogopa kupambana nao kwa sababu ni wenzako basi ni bora ukae kimya.


   
 20. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  mkuu..hilo ulilodokeza kwenye red halina tatizo kwangu...tena ni jema ili kuwe na balance of nature...tuendelee kuishi kwa upendo...lakini hawa hawa watawala ambao wanitumia dini kama advantage ya wao kukaa madarakani na ku avoid opposition kwenye manifest na policies za chama chao hakuna hili... je wanaotumika kama shield wananufaika na nini.. sisiem ituonyeshe ilipanga kuwanufaisha vipi waislam kama under privillaged...kuwapa special boost katika education na ku reform education system zao.... hizi ni very cheap programs and awareness campaigns ....haihitaji nguvu ya serikali...lakini inahitaji sera husika. ambalo ndio ukweli wenyewe
   
Loading...