Tuwakatae Wahuni Wote

Kuna njia nyingi salama za kudai haki lakini huwezi kufanya siasa za hatari etu uonekane jasiri huo ni ujinga,ndio maana wanaharakati wahuni wamekimbia nchini kwa kuhofia uhai wao,je wao sio waoga?

Think big
Mkuu kila mtu na roho yake,wewe kaa utulie watu wakupambanie,wewe unae ogopa kupoteza maisha yako inatosha,ukombozi siyo sehemu yako,kaa utulie,dhuruma hizi zinazo endelea kwa mwenye utimamu wa akiri hawezi huhubiri amani kipuuzi puuzi tu

Watu wanateseke wakipaza sauti kidogo wanaitwa wahaini.utawala dharimu lazima watu wauseme.ukikaa kimya wewe inatosha.Acha kuhubiri amani usiyo ijua.

Hata makaburi ya walio ogopa kupigania haki zao eti kisa watakufa tushayaona.
 
Wahuni wanawaambia wanaochochea nchi wako nje huku wao na watoto wao tunaowafahamu ndio wana uraia wa nchi za nje.

Wahuni walikataza malipo katika mfumo wa USD , ilhali wao apartment zao pale Masaki wanapokea kwa mfumo wa USD.

Wahuni wanatumia vyombo vya dola kupeperusha chopa za kijeshi siku nzima kutisha raia ambao hawana maji majumbani katika jiji kubwa wiki hadi mwezi mzima.

Wahuni wanawaambia muwe wazalendo na mlinde amani , kumbe amani wanayomaanisha ni upofu wa kifikra kutokuhoji kumbe wao wananunua villas pale UAE.

Wahuni wamenunua villas UAE ambapo ni jangwani ila hakuna shida ya maji licha ya bahari kuwa chanzo kikuu cha maji ila hapo wamewaacha solemba na kusema kukosekana kwa maji hapo Dar es Salaam chanzo ni ukosefu wa mvua huku Dar es Salaam ikiwa na bahari, mito na chemchem kadhaa.

UAE ni jangwani mvua inaweza kunyesha mara 1 au 2 tu kwa mwaka ila hakuna kero ya maji ila wao wanawaaminisha mtunze amani huku wao waendelee kutafuna keki ya nchi
 
Wewe kama muoga kaa kimya usipandikize mentality ya woga kwa wengine
Watanzania wote tukiungana kutetea haki hawa wahuni watashindwa wamteke nani
 
Shida huioni unatujazia pumba humu..!!
Kuna ulazima wa kusoma threads zangu?? Kwanini usipite kushoto tu? Au just ignore me,and you won't see me again.

Huwa najaribu kuwa mstaarabu sana,kauli ya awali uliyosema sio nzuri kabisa,ni vile tu mimi ni mtu ambaye sitake things personally

Hunijui sikujui kwanini unanirushia maneno machafu?

Hapana jaribu kuwa mstaarabu basi hata kama kuna jambo huafikiani nalo basi either walk away au eleza hisia zako katika namna ya utu na ubinadamu

Sio kwangu tu hata kwa member mwengine yoyote yule, hivyo ndivyo watu wastaarabu hufanya

Asante kwa kuelewa.
 
jenista kamkosoa nani
 
Sasa kwanini huwa hamuend front wenyewe?

Mnatumia advantage ya vijana wasio jitambua kwa kufuata mkumbo tu wa wanaharakati uchwara

Unafikir mtu mzima kama mimi unaweza kunishawishi kwa mambo kama hayo? Kwanza natafakar faida na hasara zake kisha nafanya maamuzi

Lakini hawa watoto wa watu maskini mnawapeleka Peleka tu

Hatukubali huo ujinga,tutaplay our part,nyie hubirini mapambano na sie tuhubiri amani na kuwasanua wasio jitambua ubaya wa hicho wanachokifanya

Mwisho wa siku tuwaache wenyewe wafanye maamuzi

Asante
 
Dah! Nakosa hata cha kusema. Anyway wewe jamaa ni mpumbavu kupita upumbavu wenyewe. Kwa hiyo unahalalisha kabisa utekaji. Wewe ni mpumbavu, mjinga huna akili kabisa. Fvck you!
 
Dah! Nakosa hata cha kusema. Anyway wewe jamaa ni mpumbavu kupita upumbavu wenyewe. Kwa hiyo unahalalisha kabisa utekaji. Wewe ni mpumbavu, mjinga huna akili kabisa. Fvck you!
Ujinga ni kuukataa ukweli, unajua kabisa ukiongea vibaya kuhusu serikali unatekwa,why ufanye kosa hilo hilo?

Nani mpumbavu sasa?

Huu mchezo hauhitaji hasira hata kidogo
 
Dah! Nakosa hata cha kusema. Anyway wewe jamaa ni mpumbavu kupita upumbavu wenyewe. Kwa hiyo unahalalisha kabisa utekaji. Wewe ni mpumbavu, mjinga huna akili kabisa. Fvck you!
Ujinga ni kuukataa ukweli, unajua kabisa ukiongea vibaya kuhusu serikali unatekwa,why ufanye kosa hilo hilo?

Nani mpumbavu sasa?

Huu mchezo hauhitaji hasira hata ki
jenista kamkosoa nani
Unamaanisha nini hapa,ebu nyosha maelezo
 
Ujinga ni kuukataa ukweli, unajua kabisa ukiongea vibaya kuhusu serikali unatekwa,why ufanye kosa hilo hilo?

Nani mpumbavu sasa?

Huu mchezo hauhitaji hasira hata kidogo
Sasa kwa nini usiiambie serikali iache kuteka badala ya kuwaambia wanaotekwa waache kuikosoa serikali?
 
Ujinga ni kuukataa ukweli, unajua kabisa ukiongea vibaya kuhusu serikali unatekwa,why ufanye kosa hilo hilo?

Nani mpumbavu sasa?

Huu mchezo hauhitaji hasira hata ki

Unamaanisha nini hapa,ebu nyosha maelezo
Kwa hiyo tuache kuikosoa serikali hata kama inakosea?
 
Tumeongea sana suala hili la kuthamini nchi yetu ambayo bado maskini na tuache uhuni wa kuiga lkn baadhi ya watu bado vichwa vigumu.
Sasa iliobaki ni kuwakumbusha tu kuwa yyt anaepanga na kuiharibu nchi hii kwa kisingizio cha kutaka mabadiliko ajue Dola itamtia adabu na akiendeleza kiburi atakula chuma tu.
Kiburi mwisho wake ni kaburini tu.
 
Sasa kwa nini usiiambie serikali iache kuteka badala ya kuwaambia wanaotekwa waache kuikosoa serikali?
Ni mara ngapi watu wamelizungumzia hili swala?

Je tumepata majibu yoyote?

Sasa kama umeona upande wa pili haufanyi chicchote juu ya changamoto yenu,je suluhisho ni kuendelea kuongea zaidi na kutekwa zaidi?

Je faculty yako uliyopewa na Mungu ya kutafakari na kufanya maamuzi sahihi faida gani na wewe?

Mfano wake ni kama vile unajua njia hii kuna majambazi halafu ulivyo mpuuzi nawe unapita palepale,halafu wakikuvamia unalalamika,je upo sawa kweli?
 
Jukwaa la babako hili mpk uandike pumba tukunyamazie?
Watu wamepoteza wapendwa wao wewe unaleta uchawa hapa..!!

Em kapikie mumeo futali tutolee upuuzi..!!
 
Uzuri Pole Pole kabla hajatekwa alishawataja wahuni wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…