Tuwajue Ma-DED waliopoteza majimbo na wamebakizwa!

Titho Mahinya alikuwa mkurugenzi Jiji la Mwanza akapambana kuhakikisha Wenje anachakachuliwa. Baadaye akahamishiwa Mbarali na safari yake imeishia hapo. Nadhani kulikuwa na vigezo fulani labda walitumia au walitaka tu kuweka watu wapya waanze upya
 
Yule Mkurugenzi wa Jiji la Tanga aliyemtangaza Meya wa CCM wakati alishinda wa CUF kaachwa, pamoja na kutokaa ofisini miezi mitatu akihofia usalama.

Siku zote ni muhimu sana kutenda haki; Hata ukitoswa au kusema vibaya, daima ukweli utabaki kuwa kweli.
 
Pia mkurugenzi wa wilaya ya Tarime bwana Othuman Akalama pia katemwa. Aliekuwa Manispaa Musoma alipewa ukuu wa wilaya sumbawanga
 
Wakurugenzi naomba watume CV zao...wako vilaza na wasio vilaza...anaeweza kuzipata azitume hapa...
 
Kwani kigezo no matokeo ya uchaguzi katika halmashauri zao?
Yes, nadhani kinahusika. Hao waliopoteza majimbo wakati walikuwa wasimamizi wa uchaguzi ina maana hawakuwa serious kulinda maslahi ya chama. Na hata walioteuliwa, nina hakika wengi ni wale walioonyesha kuwa upande wa chama. Mfano, nafahamu wawili au watatu ambao wameteuliwa na walikuwa wagombea kwenye kura za maoni ndani ya chama. Kwa hiyo, YES, matokeo ya uchaguzi yanahusika, na hapa inaandaliwa safu ya ushindi chaguzi zijazo.
 
Hiyo Tume lazma ing'olewe kabla ya 2020 mambo ya udwanzi tumechoka sie!!!! Kwan Ile ni taasisi ya Lubuva au ni ya watz wote!!!! Tume Huru Kwanzaa wajombaaa!!!!
 
Back
Top Bottom