Kisima
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 4,094
- 4,396
Kwa mwendo huu ni ndoto kwa CCM kuondoka madarakani kupitia kiini macho cha sanduku la mpiga kura na ndiyo maana kumbe huyu jamaa uchwara anazuia harakati za kisiasa kwa vyama vya upinzani make technically ameshaziba mishipa yote ya fahamu kwenye masuala ya demokrasia.
Na hili "likatiba mfinyango" lao sioni mantiki ya kulileta uraiani tulipigie kura.
Na hili "likatiba mfinyango" lao sioni mantiki ya kulileta uraiani tulipigie kura.