Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,776
- 16,209
Shida ni kuwa wengi wao kichwani ni empty set
Huu moto ni noma labda aje,mshikaji wake warudiane ndo utazimaPeleka moto mpaka awaite fire kuja kuzima.
Fursa Kwa SINGLE MOTHERS aliyeko serious.UNAMFAHAMU HATA MMOJA TAFADHARI UNIPE NAMBA YAKE, UKWELI NAHITAJI MWENYE MAPENZI YA NAMNA HIYO.. AU KAMA KUNA ATAKAYESOMA UZI HUU BASI ASISITE KUJA INBOX AU EMAIL babumtz@gmail.com
Sana mkuu, yaan kuna mmoja nipo nae ana heshima na mapenzi ya hali ya juu wala sio msumbufu, anatafuta pesa yake mwenyeweWanapitia maumivu sana akipata sehemu ya faraja lazima awe thankful na kuhandle with care.