Tuwafanyeje STARTIMES waache wizi wa local channels

Sasa hivi baada ya kuchakachua nazipata channel hiz bure

ITV,TBC,EATV,CHANEL 10,STAR TV, CAPITAL TV, TV E, CITIZEN TV,AL JAZEERA, Emmanuel TV,NA radio kama 5 hivi,

Zinanitosha sana, mwaka wa pili sasa silipii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm natumia azam, inawezekana njia hiyooo? Tutafutane nitakulipa
 
Mimi ninachojua Startimes wapo juu ya serekali ya Tanzania hata tufanyeje wataendelea kutuibia tu, na hakuna wakuwauliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom