Tuwaelimishe wagombea wetu..

Mlupembe

JF-Expert Member
Jan 31, 2014
445
209
Kwa UKAWA , kazi imekuwa rahisi ktk uchaguzi za serekali za mitaa , escrow imeturahisishia , lkn kuna kitu nimekiona katika kampeni zetu , mfano nimefika njombe semina ktk hoteli nliyofikia kwa njiani nimekuta kuna kampeni nimesikiliza nimesikia karibu wote wanakuwa hawaongei sera za kuwafanya watu wabadilike , wanawapaka polisi , aliyeongelea escrow ametukana tu basi , na kuwaponda wazee wanaojiita ccm damu , pia nikakuta ni bendera ya chadema tu.. Ila nashukuru nimetumia mda kidogo nikamweta kiongozi mmoja nikampa elimu ya kuwaelimisha hata hao wazee athari za escrow ni pamoja na kukosa madawa , kulipishwa mazao getini , kuchangia maabara , kukosa hata tiba bure kwa wazee ! Pia umuhimu wa kuweka bendera za washirika wote ili tuonyeshe umoja wetu japo akinishtua kuwa eti juju danda anazuia nccr mageuzi wasishirikiane nao, Naamimi wataelewa ! Sijawa na mda sana ila kwa nlivoona sie tusaidiane kutoa elimu kwa wagombea wetu... Juju namjua na ntamtafuta kabla kurudi dar asituchanganye.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom