Tuwachore...................

Tuwachore...................

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
1512809_576085389157756_7720964159849329782_n.jpg
 
Mwanangu tunaiita Eskoro ni Account iliyotengwa kwa ajili ya kusubiri mgogoro wa Tanesco Na IPT ... Mwanangu wajanja au majambazi wakaivamia hiyo account aaah subiri nikuzae uje uyaone mwanangu nikikusimulia yote ukiwa huko hutoki. halafu nakuogopa hata wewe mwanangu maana isije ikawa na wewe ni kafisadi.
 
Ni ya kweli kabisa pesa haina ndugu na pesa ni sabuni ya roho na pesa humbadilisha hata dini yake na pesa ina ushetani kweli
 
Akajifungue tu.. Dogo atakuwa na ashki majununi..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom