Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Ngojea tumwite Mtu huyu wa mabibo mkuu.@mshana jr njoo utujibu swali letu hili.Hivi vile vipeperushi vilikuwa vinagawiwa watu tukiwa kwenye madaladala katika foleni Jijini Dar bado wanaendelea kuvitoa nimepamics Nyumbani sana na mambo yake.
Ngojea tumwite Mtu huyu wa mabibo mkuu.@mshana jr njoo utujibu swali letu hili.
Hawa jamaa wanaboa sana aisee.