Tuwachore

Tuwachore

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
kp18072014.jpg
 
Umenikumbusha wimbo wa Robert Nesta unaoitwa Duppy Qonqerer (sina uhakika spelling)

Back to the point, shoka butu!? Au jamaa amekata tamaa mapena!? Lol

Inabidi kutumia njia mbadala, hahaha.
 
Wanabodi,
Sikupenda kabisa kuingia ktk mada hii ila nitajaribu kuweka record hapa clear, kisha wenyewe mtapima marefu ya hili swala..
Choveki was right...Salim alikataliwa na Marekani kwa sababu anatoka Black Africa!..Na Marekani pekee wali- veto kwa kisingizio hicho hali ukweli ulisimama kwamba Salim na Tanzania tulikuwa WAJAMAA, kwa tafsiri yao communists.
Sali hana back ground mbaya zaidi ya kuwa mwanachama wa Hizbu..Hilo ni swala la Zanzibar sio bara pia tukumbuke wakati ule vyama vyote hata Shiraz kilikuwa chama cha kinachotafsirika kwa rangi. Machungu yetu tuyageuze pia kuangalia waarabu ambao walikuwa nje kutazama viongozi wa Shiraz.
Kweli Mzee Es anaweza kuwa na point, kwa sababu sio kila raia anaruhusiwa kushika nafasi ya Urais.. sii Marekani, Arabuni wala Uchina. rais ni wadhifa tofauti kabisa na nafasi ya kazi na trust me tunaweza tafsiri tunavyopenda lakini Mzungu hawezi tawala China wala Mchina kutawala Ulaya..
Binafsi naweza kusema case ya Salim kidogo nzito kutokana na historia ya nchi yetu. Ukichunguza kwa makini unaweza kuta familia ya Salim ilikuwepo Pemba hata kabla ya Wagogo kufika Dodoma toka south, ama Wahangaza kufika Ngara kutokea huko Ethiopia via Rwanda!.. sasa hapa na ni raia!
Hapohapo sikubaliani na madai kuwa mtu yeyote kwa rangi ama kabila kuchukua Urais kama hatakuwa mzawa, bila asili ya Tanzania, na kubwa kuliko yote - yeye, wazazi ama nasaba yake ni raia ya nje waliohamia Tanzania.
Kwa maana yangu hata sisi tunaopigania uraia wa nchi mbili basi ikija siku ya kupigania kiti cha rais sidhani kama ni vizuri kuwa huru.

Waliunderestimate nguvu za Assad naona sasa wanamchokonoa Putin watapata Ainu nyingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom