TUWACHORe

TUWACHORe

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
10447159_530533643720021_4291231642637198529_n.jpg
 
Hahahahhahaha ooooh My God, jamaa hasikii kabisa, yuko ndani ya music mkubwa anasikiliza beats na Elimu na viraka vyake hawezi sikilizwa kamweee!! Watoto wa huyo jamaa hapo wanasoma International Schools na sio Academic schools ikumbukwee, sasa nyie Kayumba schools mtasota sanaaaa!!! Daaah nimecheka sana ila hii ni ukweli mtupu!!!
 
Kuongoza nchi kisanii kwa kweli kuna hasara yake. Yaani rais unashindwa kuongoza nchi eti unakaa na msanii kuendekeza usanii?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom