TUWACHORe

TUWACHORe

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
10431147_527529330687119_3404570071698930775_o.jpg
 
MziziMkavu inauma sana kuacha utitiriri wa safari na ving'ora na wapambe kibao na allowances
Unajua hata kama unalipwa mafao kiasi gani ila ule utukufu ni balaa bana
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana wanajitahidi kuwarithisha watoto wao ili kuendeleza utukufu; sasa wengine kama wakina Albert Benard Omar Bongo walifanikiwa je na huyu mkweree atafanikiwa kumrithisha kiazi wake?
 
Ooyooo Dawa ya kutobanduka ikulu ni kuwahi kuibadilisha hiyo rasimu ya katiba ili aweke ya kifalme maana baba akidondoka mtoto huwa mrisi na mtoto akidondoka mjukuu huwa mrisi na mjukuu akidondoka kitukuu huwa mrisi hiyo ndo dawa yake ya kula kuku kwa mreja
 
Kuanza kukaa foleni ya ubungo posta inakera sana. Hakuna ving'ora tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom