Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Wa-Danganyika bado Tupo usingizini Matatizo ya msingi ni Umasikini,Elimu Duni ,Afya, Maradhi, ujinga na Maendeleo ya nchi. Watu hawayazungumzi wanazungumzia Eti Sirikali mbili wengine wanataka Sirikali tatu basi sis Wa-Tanzania tutakuwa wajinga mpaka mwisho wa Dunia .