TUWACHORE Tu

Ooyooo ukisikia maendeleo ya nchi hii au miaka hamsini ya maendeleo yamepatekana basi ndo hii Rushwa na hakuna kengine kilicho patikana na hii maendeleo ya Rushwa haitaondoka hata tupige makelele aina gani hata kwa sauti zetu zifikiei mbingu saba ni bure na huku tunamtafuta alio turoga na kumbe ni sisi kwa sisi hii kuwondoka kwake labda ni mwisho wa Dunia hii hapo tena ni safi
 
Tanzania nia nchi ya ajabu, usishangae takukuru wanabeba pesa wanampelekea jaji ili washinde kesi. by Marehemu Sengondo Mvungi.
 
Huyu jamaa sijui anawazaga nini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…