Ha ha ha.. Mchungaji Mtikila naona amepotezwa na maharamia ambao wameendelea kuipa nguvu ile hoja ya kwamba kila mtu ana bei yake.. Sadly Mtikila yeye alikuwa so cheap..
Ila enzi zake Mtikila alikuwa ana ushawishi mkubwa sana.. Nilikuwa ninaona kwenye mikutano yake wasikilizaji wake wakipatwa na mzuka kiasi cha kuweza kutenda lolote pasi na hofu wala shaka.. Nadhani yeye ndie alieasisi majina ya --------- na mlala hoi (i stand to be corrected)..