Tuusambaze waraka wa Kanisa kila sehemu

Huo waraka unapatikana wapi ili tuweze kuusoma na kuusambaza?

Jumapili iliyopita nilikuwa kanisa la k'ndege dodoma baada ya ibada nikamskia padre akitangaza kuwa kitabu cha ilani kimefika. Bahati nilipokwenda kwenye duka lao sikukiona. Sijapata muda wa kukifuatilia lakini lazima nikipate, katika hili siamini kama padre alikuwa anafanya mzaha. Sasa Dingswayo kama uko dom jua hakika utakipata.
 
very good! i like that.mimi pia nimeshauprint nikirudi tu dar,naanzia mtaani kwetu kuwapa vijarida.
 
EL mbona anapita huko huko?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom