Tuungane: Mafundi, Watundi, Automation, Robotics

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,261
Wasalam Waungwana.

Tanzania kuna vichwa haswaaa kuna wajuzi wa mambo kada wa kada, lakini kinacho fanya tusiruke zaidi ni kila mtu kujificha kando na ujuzi wake,kile anacho kijua. Hatupeana challenges za kufanya utundu ubunifu ukue zaidi, Sijui why?

Lakini leo nimetaka tufahamiane, tujuane, hapa tunaweza elewana nani anaweza mfata nani akampa uelekeo, guidance akawa mentor wake ,partner wake au mtu wa kujifunza pamoja. Ktk ulimwengu wa technology tunajifunza kilaa siku.

Naomba nitoe wito basi, huko mlipo wababe ,wajuzi au hata kama unajifunza habari za technology kwa upana wake.

Kama ni Programmer wa language yeyote, unafanya Arduino, RI, ML, Jetson Unafanya automation ya aina yeyote ,Robotics, Mechanical engineer, Electronics ,Umeme, Hata kama wewe ni mtundu mtundu wa hayo makolokolo Hebu ibuka basi tujuane tufahamiane.

Tutoe njia kwa walio gizani, tuwape uelekeo n.k Bongo tunahitaji kukua zaidi kwenda mbaliiii mno. Ukicheki hata Huko You tube utakuta watu nje ,wahindi ndio wamejaaa. Nina maono flani hivi Lakin kwanza tujuane tuone tunainua vipi hiii sekta inayo jificha.
 
maybe kama ungeanza kujichanganua wewe kwanza kuwa umebased kwenye nini zaidi
 
Uzuri wa haya mambo hayana longo longo wewe weka kazi yako hapa hata kwa asiye mtaalamu nadhani anajua kubonyeza remote hili hilo robot lifanye yake..., Kuna sehemu hadi walianzisha mashindano ya robot wars (kila mtu anakwenda na robot wake alafu mnawagombanisha mshindi anachukua chake)
 
Wazo zuri sana,lingeanzishwa Group ingekuwa poa sana
 
Uzuri wa haya mambo hayana longo longo wewe weka kazi yako hapa hata kwa asiye mtaalamu nadhani anajua kubonyeza remote hili hilo robot lifanye yake..., Kuna sehemu hadi walianzisha mashindano ya robot wars (kila mtu anakwenda na robot wake alafu mnawagombanisha mshindi anachukua chake)
Lengo ni kuunganisha hizi funny tuwe na connection na sio kuonyesha nn najua mkuuu,
 
Uzuri wa haya mambo hayana longo longo wewe weka kazi yako hapa hata kwa asiye mtaalamu nadhani anajua kubonyeza remote hili hilo robot lifanye yake..., Kuna sehemu hadi walianzisha mashindano ya robot wars (kila mtu anakwenda na robot wake alafu mnawagombanisha mshindi anachukua chake)
Napenda sana hiki kipindi uwa nakitazama. Ni burudani sana
 
Wasalam Waungwana.

Tanzania kuna vichwa haswaaa kuna wajuzi wa mambo kada wa kada, lakini kinacho fanya tusiruke zaidi ni kila mtu kujificha kando na ujuzi wake,kile anacho kijua. Hatupeana challenges za kufanya utundu ubunifu ukue zaidi, Sijui why?

Lakini leo nimetaka tufahamiane, tujuane, hapa tunaweza elewana nani anaweza mfata nani akampa uelekeo, guidance akawa mentor wake ,partner wake au mtu wa kujifunza pamoja. Ktk ulimwengu wa technology tunajifunza kilaa siku.

Naomba nitoe wito basi, huko mlipo wababe ,wajuzi au hata kama unajifunza habari za technology kwa upana wake.

Kama ni Programmer wa language yeyote, unafanya Arduino, RI, ML, Jetson Unafanya automation ya aina yeyote ,Robotics, Mechanical engineer, Electronics ,Umeme, Hata kama wewe ni mtundu mtundu wa hayo makolokolo Hebu ibuka basi tujuane tufahamiane.

Tutoe njia kwa walio gizani, tuwape uelekeo n.k Bongo tunahitaji kukua zaidi kwenda mbaliiii mno. Ukicheki hata Huko You tube utakuta watu nje ,wahindi ndio wamejaaa. Nina maono flani hivi Lakin kwanza tujuane tuone tunainua vipi hiii sekta inayo jificha.
Utundu bla mtaji na vifaa vya kisasa ni kupoteza mda.
Bongo hututakua ki tech mpaka wenye pesa waamue ku sponse project.
Imagine project ya mwaka wa tatu TCU wanakupa laki2
Utafaya kitu gani cha kushangaza ?
Kuyafsnta hayo mambo kibashara ni ngumu sana hapa TZ na Africa kwa ujumla.
Labda watu watoe mbinu jinsi ya kupata pesa ya kuendeshea hizo project.
 
umelimit mind yako, Usitazame fungua mlango usiangalie nje ya nyumba kupitia tundu la funguo
 
Ungekuwa hajalimit mind yako ungekuwa unakampuni kubwa inayojulikana.
Unaongea utoto na hizo project zako zitakua za kitoto za kujifurahisha mwenyewe lakini kama za kibiashara lazima wenye pesa waweke mikono.
Vinginevyo utkuwa unaunda spika na amplifier za makanisani na vibanda umiza.
Ulimwengu wa tech sio lelemama ni lazima wenye pesa waweke mikono vinginevyo hujui historia ya makampuni ya teknolojia yalivyofika hapa yalipo.
 
U talk kama tunajuana vile
 
U talk kama tunajuana vile
Hakuna kinachojificha hapa bongo labda kama upo uk au usa.
Watu wenye makampuni ya tech makubwa hapa Africa ni wanaijeria Egypt,SA na yanajulikana na ni hiki nje.
Bongo hakuna kampuni kubwa zinazotambilikana duniani na zinazalisha teknolojia, uijikuze mkuu teknolja haina siri.
Kama una unda vitoi vyako kwa kuihiza vifaa china sawa hizo hobyst project.
Taja basi kampuni yako tui google sio kututisha tu hapa.
TZ hadi mkongo/minara ya simu walifunga watailand/wachina/waislaeli , hakuna kampuni inayoweza kufanya huzo kazi haipo, tusitishane.
Teknolojia sio ugali wa muhogo au makande kila mtu anajua kuyapika.
 
Kumbe hata hujui nilipo. Ila anyway regardless nalo fanya Kiongoz, kila watu huanzia chini, hayao makampuni makubwa nayo yali struggle same man.

Kuna vision flani nataka wapatia vijana hapa tukue zaidi. La msingi ktk life la sasa ni mawazo, ideas. Hatupo ktk Era or age ya fun,kucheza cheza tu.

So, dude way unavyo fikiria na ku handle vitu ni tofauti na wengine wowote.

usilazimishe lazima 2+7=9 kuna 5+4,6+3,8+1= 9. Nikipata watu watano tu wenye ujuzi flan wana excel tutakutana Juuu zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom