Tuungane: Mafundi, Watundi, Automation, Robotics

Kumbe hata hujui nilipo. Ila anyway regardless nalo fanya Kiongoz, kila watu huanzia chini, hayao makampuni makubwa nayo yali struggle same man.

Kuna vision flani nataka wapatia vijana hapa tukue zaidi. La msingi ktk life la sasa ni mawazo, ideas. Hatupo ktk Era or age ya fun,kucheza cheza tu.

So, dude way unavyo fikiria na ku handle vitu ni tofauti na wengine wowote.

usilazimishe lazima 2+7=9 kuna 5+4,6+3,8+1= 9. Nikipata watu watano tu wenye ujuzi flan wana excel tutakutana Juuu zaidi.
Sawavkama umekubaliana, binafsi ni mguatiluaji na mwenye sgauku ya kuona teknolojia inakuwa kubwa ila watu wengi huwa wanadhani teknojia ni raisi raisi tu kumbe ni mkakati jkabambe ybsohitaji watu waliopevuka.
Kwa hio dikukagishi tamaa ila nilitoa angslixo kuwa wenye pesa hapa Africa hawaba mda ba kukuza teknolojia vinginevyo ufanye oartnership ba wazungu au wahindi.
Rejea yule dogo wa kenya alietangaza kuwa anataka kenya ipate flying tax(drones), mpaka leo mwaka karibu wa nne hakuna kinacho endelea huku wachina na wazungu wanafanya majaribio ya hio tech.
Mkuu mi mwenyewe nina idea nafikiri kuna uzi ninewahi kuzungunzia ila nikiwaza pesa na vifaa, laboratory naamua nipotezee.
Kuna ideaa ninazo zipo mbili hata Elon mwenyewe hajawahi iwaza na wala sijaiona popote zipo moyoni mwangu tu, zitafia akilini mwangu sasa ni mwaka wa sita.
Mkuu kukuza tech sio lelemama hasa kwa nchi zetu za wasaka tonge.jaribu huenda uka breakthrough
 
let's talk possibilities now, let's talk big ideas tu imagine makubwa tuvuke limit ya kutaka kutengeza makubwa

Hit my inbox with ur number dude
 
daah mkuu, unachapia kinoma, em tuliza munkari
 
Nina uwezo wa ku ingilia mawasiliano ya mtu na kuchukua taarifa zake pasipo kushika kifaa chake chochote
 
let's talk possibilities now, let's talk big ideas tu imagine makubwa tuvuke limit ya kutaka kutengeza makubwa

Hit my inbox with ur number dude
Una hela za kununua motherboard printing machine, CNC machine,molding machine, printing machine, lithographic machine, update software na tu uchafu uchafu twingi twa maabara?
Ili uanze maabara ya hali ya chini sana workshop yako uwe na angalau na dola milioni 2.
Unaweza kupata hio hela au unataka nije nipoteze muda?
Nachofikiria mimi na ushauri wangu; iwapo nta andika proposal zangu au zako ni vyema uka contact vyuo vya nje,sponsors wa nje na wadau wanaoweza kuweka pesa na kutest imaginary ideas vinginevyo bora nikalime chikichi kigoma .
Kuna mwalimu namjua ni laboratory scientist mzuri sana ameishia kusuka spika, invetor na kufanya electronics troubleshoong mitaani( Mud scientist).
Kama sio kupoteza mda ni nini?
Mzee wa watu anazeeka na maujuzi ya kufa mtu yasio na application popote hapa bongo.
Slitumia muda mwingi na pesa kijifunza hatimae anazeeka akiwa masikini.
 
Mi ni babu yenu nilieona mengi, nyie mnajifanya mna akili kutuzidi sisi baba zenu eti? Mnafikiri baba zenu kushindwa kuwa na kampuni za kiteknolojua kama Toshiba wao ni wajinga eti?
Ahaa samahani sana babu, mimi ni mwanafunzi tu wa kawaida katika nchi yetu hii ya kimaskini kama wanavosema ila kitu kimoja ningependa kusema ni kwamba kwakuwa hatuna vitu au tunaishi katika maisha duni ndio tulemae na kushindwa kupambana na hiki kinachoendelea duniani, binafsi huwa nashiriki mashindano mbali mbali ya technology africa mashariki na nimepata bahari ya kwenda kenya, kiukweli wale jamaa sio kwamba wanatushinda kwakuwa wana ela bali wana mawazo yaliyo changamka na ushirikiano mkubwa sana, anyway mi niishie hapo ila kama kuna mtu anataka kusaidiwa chochote kuhusu PLC, STM32 na ATmega anaweza sema nikamsaidia, sio mzuri sana but nina foundation nzuri na naweza kufanya karibu chochote kutumia izo micro contlorres pia Circuit designing na ordering kama unaogopa kutumia pesa nyingi kwenye ku order circuit JLCPCB huwa nafanya pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom