Je, unafanya robotics, automation, micro programing?

Je, unafanya robotics, automation, micro programing?

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,261
Hello wajuzi.

Ulimwengu wa Technology unamkimbia kwa kasi sana. Kwa kuanzia sekta za kibiashara, Siasa, hadi Technology. Kwa sasa utendaji unafanywa sana na Artificial Intelligence, hardware na codes zinaungana kutoa mwitikio na utendaji Unaofikiriwa na mtaalam husika.

Hii field na hizi skills ni life learning, Natoa wito sisi wenye interest na curiosity wa Hii kitu, tujuane , tushirikiane.

Je, unafanya nin hapo? Electronics, Mechatronics, Robotics na mengine yanayo husiana na haya, tuje pamoja.
 
Nafanya IoT, micro controllers, automation(hasa plc)

ila kibongobongo mizinguo, bado sana, clients wangu wa nje uko
 
Nafanya IoT, micro controllers, automation(hasa plc)

ila kibongobongo mizinguo, bado sana, clients wangu wa nje uko
Bongo tunaikimbia hii field? au watu wamejificha??
 
Wajuzi wa Raspberry pi na arduino mpooo?
 
Back
Top Bottom