Tuungane kumuombeya Zitto na wapambanaji wengine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuungane kumuombeya Zitto na wapambanaji wengine

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mufiyakicheko, Oct 28, 2011.

 1. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hatuna budi kutowa tofauti zetu za kisiasa/din tuwaombee wapambanaji wetu wote walio kubwa na magojwa

  Utukufu uwe kwako, Ee Bwana MUNGU! wetu nakusihi wewe kwa jina lako ambalo kwalo wewe umeinua juu bendera za uongozi wako, na umetawanya wangavu wa wema wako, ulifunua enzi ya ubwana wako, ambalo kwako taa ya majina yako imetokea kishubaka cha sifa zako, nayeye ambaye ndiye hema la umoja wako na mdhihilishaji wa kujitenga ameng'aa ambalo kwalo njia za uongozi wako zimejuliswa, na njia za ridhaa yako zimeainiswa.

  Ambalo kwalo misingi ya makosa imefanywa itetemeke, na dalili za uovu zimeondolewa mbali ambalo kwalo chemchemi za hekima zimepasuka nje, na meza ya mbinguni imetelemswa ambalo kwalo umewahifadhi watumishi wako na umewajalia uponyaji wako. Ambalo kwalo umeonyesha nje rehema zako za upendo kwa watumishi wako ulidhihiriswa msamaha wako kati ya viumbe wako.

  Nakusihi uwaweke salama yeye ambaye ameshikilia imara na kurudi kwako, na kushikilia kwenye rehema yako, nakushikilia upindo wa majaliwa ya upendo wako. Wewe, hakika, u mponyaji, mhifadhi, msaidizi, mwenye uwezo wote, mwenye nguvu, mtukufu kabisa, ajuaye yote.
   
Loading...