Tatizo lenu hiyo pilipili mmeichoma na upepo unanielekea mimi.Hivyo ni lazima nipige "mayowe"!ππππPilipili ya shamba inakuwashia nini ?
Kwenye uislamu kuna tatizo kubwa la kuchanganya tamaduni za waarabu wa jangwani na masuala ya kidini.Waislamu huwa hawarembi
Hivi angekufa kipindi corona niWazo zuri, ila hiyo ya kulazimisha watumishi wa umma kwenda kumuaga haijakaa poa. Lengo ni kuhadaa umma kuwa alikuwa anakubalika sana ama nini? Maana wakati wa Nyerere watu walienda kwa wingi kwa ridhaa yao. Sasa hiyo ya kushurutisha watumishi ina maana gani?
Sasa mnataka wakristu wafuate ya kiislamu?.. Waislamu waendelee na utaratibu wao na wakristu nao waachwe waendelee...Waislamu huwa hawarembi
Hama tu... kwani ukiona kanisa huwa unaingia!?Tatizo lenu hiyo pilipili mmeichoma na upepo unanielekea mimi.Hivyo ni lazima nipige "mayowe"!ππππ
Hii inawezakana kama wana familia wakitaka au marehemu aliacha wosia. Binafsi hata mimi naunga mkono. Sioni uzuri wowote wa kumweka marehemu uwanjani na watu wapange foleni kumwangalia. Kwanza wengi wanaenda ''kuchora'' na siyo kutoa heshima.Hilo linawezekana endapo kuna 'Islamic State'. Quran haikuacha kitu....
Hivi angekufa kipindi corona ni
Wangemweka hivo au siku ile ile kesho yake kifusi kingemuhusu
Kanisa tena nisiingie? Nitapata wapi upako mkuu? Lazima nichome ndaniππππHama tu... kwani ukiona kanisa huwa unaingia!?