Mbona waguna, umepatwa nini Jephta2003?
Sijapata email yoyote! Angalia na tuma upyaMbona hujibu email sasa?
hahahaaaaaaaaMbuzi kaangua kwenye zizi la mpikaji supu
unamana gan mkuu ?Daah ama kweli,mahindi humuotea mtu asiye na meno..
Mkuu unataka kumpa flash yake au umemuelewa tu huyo mtoto?Mpendwa Dada mwenye picha zifuatazo hapo chini,
Nimeokotoa flash mobile yako ikiwa na vitu mbalimbali lakini vikiwa havionyeshi utambulisho wala njia yoyote ya mawasiliano. Nimetumia signature ya doc mojawapo ambayo imesainiwa kama "Tuty wa Pwani" kukutafuta.
Usomapo au ufahamishwapo juu ya habari hii, niandikie kupitia tanvanille@gmail.com ili kupata flash yako.
Mpendwa Dada mwenye picha zifuatazo hapo chini,
Nimeokotoa flash mobile yako ikiwa na vitu mbalimbali lakini vikiwa havionyeshi utambulisho wala njia yoyote ya mawasiliano. Nimetumia signature ya doc mojawapo ambayo imesainiwa kama "Tuty wa Pwani" kukutafuta.
Usomapo au ufahamishwapo juu ya habari hii, niandikie kupitia tanvanille@gmail.com ili kupata flash yako.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23]Mbuzi kaangua kwenye zizi la mpikaji supu
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Aisee!!! Mbona unamrusha make wangu kwenye mitandao?
Kweli ww ni kidume cha mbeguUmeokota maeneo gani hiyo flash na mimi nikaokote nyingine atakuwa amedondosha vip sana
Acha hizo wewe utavunja ndoa za watuMpendwa Dada mwenye picha zifuatazo hapo chini,