Tutsi originated from jewish tribe in ethiopia?

Tutsi originated from jewish tribe in ethiopia?

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,537
Reaction score
6,482
jamani, nilishawahi kuwa na mwanamke fulani wa kitutsi, akaniambia watutsi ni wayahudi waliotokea ethiopia, wale beta israel, jambo pekee nililojiuliza ni kwamba, wale wayahudi wa kiethipia waliozaliwa na queen of sheba na mfalme solomon walishachukuliwa kwakapelekwa israel, ni wayahudi, na kule ethiopia ambako kuna watu zaidi ya milioni 80 population, walikuwa distinct kabisa, walikuwa watu wachache hata laki tano hawafiki, walishahesabiwa na tangu enzi walijitenga na waethiopia wengine na walikuwa na desturi na imani ya kiyahudi tangu enzi na enzi. na walipopimwa DNA, wametambulika kuwa ni wayahudi kweli, kwasababu ukipima DNA ya myahudi wa israel, yule aliyekimbilia marekani, russia,ulaya yote, uarabuni na wale beta israel wa ethiopia walioondolewa kwenye operation mosses, DNA inawaunganisha, sasa swali langu ni je? KUNA MTUTSI YEYOTE ALIYEWAHI KUPIMWA IKAJULIKANA KUWA HAWA JAMAA NI KIZAZI CHA KIYAHUDI, manake wanavyotamba ati wao sio wabantu, ni wayahudi....sasa sijui waethiopia wenyewe ambao wamezaliwa ethiopia watasemaje? mwenye fununu atuambie.
 
Wamasai, wairaq ,wasandawe sio wabantu kwahyo nao ni zao la wayahudi. Akili za kuambia changanya na zako.
 
Pazia la hekalu lilipasuka ili wamataifa na wayahudi wawe na haki sawa mbele za Mungu
 
inawezekana tukaambiwa kagame ni wa ukoo wa Daudi. Kagame kawa messiah?

Kawaulize Rwanda Times watakwambia Kagame ni Messiah.


[h=2]Genetics[/h] [h=3]Y-DNA (paternal lineages)[/h] Modern-day genetic studies of the Y-chromosome suggest that the Tutsi, like the Hutu, are largely of Bantu extraction (80% E1b1a, 15% B, 4% E3). Paternal genetic influences associated with the Horn of Africa and North Africa are few (1% E1b1b), and are ascribed to much earlier inhabitants who were assimilated. However, the Tutsi have considerably more Nilo-Saharan paternal lineages (14.9% B) than the Hutu (4.3% B).[SUP][11][/SUP]
[h=3]mtDNA (maternal lineages)[/h] There are no peer-reviewed genetic studies of the Tutsi's mtDNA or maternal lineages. However, Fornarino et al. (2009) report that unpublished data indicates that one Tutsi individual from Rwanda carries the India-associated mtDNA haplogroup R7.[SUP][12][/SUP]
[h=3]Autosomal DNA (overall ancestry)[/h] In general, the Tutsi appear to share a close genetic kinship with neighboring Bantu populations, particularly the Hutu. However, it is unclear whether this similarity is primarily due to extensive genetic exchanges between these communities through intermarriage or whether it ultimately stems from common origins:
[...]generations of gene flow obliterated whatever clear-cut physical distinctions may have once existed between these two Bantu peoples – renowned to be height, body build, and facial features. With a spectrum of physical variation in the peoples, Belgian authorities legally mandated ethnic affiliation in the 1920s, based on economic criteria. Formal and discrete social divisions were consequently imposed upon ambiguous biological distinctions. To some extent, the permeability of these categories in the intervening decades helped to reify the biological distinctions, generating a taller elite and a shorter underclass, but with little relation to the gene pools that had existed a few centuries ago. The social categories are thus real, but there is little if any detectable genetic differentiation between Hutu and Tutsi.[SUP][13][/SUP]
Tishkoff et al. (2009) found their mixed Hutu and Tutsi samples from Rwanda to be predominately of Bantu origin, with minor gene flow from Afro-Asiatic communities (17.7% Afro-Asiatic genes found in the mixed Hutu/Tutsi population).[SUP][14][/SUP]

source Tutsi - Wikipedia, the free encyclopedia
 
inawezekana tukaambiwa kagame ni wa ukoo wa Daudi. Kagame kawa messiah?
walioandika wanasema wao watusi wanajidhania ni wayahudi wa ukoo wa Yuda na Benjamin, hahaha. vituko kwelikweli. hivyo kagame ni myahudi.
 
Back
Top Bottom