Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

I know, masters ni Ass Lecturer ambayo unapaswa uwe na GPA 3.8 katika masters degree
Hiyo ni kwa baadhi ya vyuo sana binafsi. Public vingi kama sio vyite wanataka GPA ya 4.0 masters ambae ni assistant lecturer. Na TA ni GPA kuanzia 3.8
 
Tatizo hawakubali GPA za kichovu

wanakosea wachukue watu wenye GPA hata za kawaida wawaweke pale kwenye interview waone mbivu na mbichi

jamaa angu nimempita GPA ila alikuwa dedicated anafundisha watu na wanaelewa kweli, wenye gpa kubwa walikuwa hawana time ya kumfundisha mtu...

Unaajili Lect hana hata habari ya kufundisha kazi kusifia credentials zake kasoma UK sijui ana PhD halafu anafundisha havieleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…