Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

Written interview kwa assistant lecturer huwaje?
 
Hii ni kabla au baada ya makato na kama ni kabla take home ni bei gani?
 
Hiyo ni kabla ya makato, but kwa sasa ni 1.8m
Ina maana baada ya makato ni kama 1.33m kama hudaiwi HESLB, ni posho gani unapata nje ya salary hata kama ni kidogo?

Kwa chuo kama CBE.
 
Ina maana baada ya makato ni kama 1.33m kama hudaiwi HESLB, ni posho gani unapata nje ya salary hata kama ni kidogo?

Kwa chuo kama CBE.
Niliisikia kuwa Wana posho ya vipindi,
 
Niliisikia kuwa Wana posho ya vipindi,
Ahaa kumbe inaweza kusogea hadi 1.5m kwa serikalini kwa level ya degree sio mbaya, japo kuna taasisi kadhaa ziko vizuri, ila kipato hicho ni kizuri kuliko kada nyingi kwa entry level.
 
Ahaa kumbe inaweza kusogea hadi 1.5m kwa serikalini kwa level ya degree sio mbaya, japo kuna taasisi kadhaa ziko vizuri, ila kipato hicho ni kizuri kuliko kada nyingi kwa entry level.
Inazidi 1.5m kwa sababu itategemea na Chuo na masaa uliyofundisha, kuna vyuo vinatoa 15000/- kwa saa, vingine 10,000/- kwa saa
 
Ibu mkuu kama upo hai. Ebu ongeza sauti kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…