Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

Tutorial Assistant: Nafasi bora ya kazi isiyojadiliwa

CCM MKAMBARANI

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2017
Posts
2,031
Reaction score
1,529
Habarini za wakati huu?

Kutokana na wadau wa jukwaa hili uwa bize na upendo wa baadhi ya kazi zinazotafsiriwa kama zenye kipato uzuri na kwa kiwango iubwa wadau na watafutaji wamekuwa hawaipi nafasi kazi ya ukufunzi au Tutorial Assistant.

Historia inaonesha kuwa wale wote waliokuwa maprofesa na wasomi nguli walianzia katia ngazi ya chini kabisa yaani T.A

Wadau hapo jana kumekuwepo na muendelezo wa matangazo ya ajira mbalimbali serikalini ikiwemo ya T.A, karibuni tujadili ubora wa asali katia nafasi hii, aina ya maswali kwa wenye uzoefu na aina hii ya kazi, changamoto na maslahi yake kwa ujumla.

Karibuni Wapambanaji.
 
GPA iwe poa.
Salary iko poa gari hukosi la kubebea mbususu za wanachuo pia pale samakifish mcity. Unataka Tena kwenye maisha kijana ea kiafrika akili zetu zimeishia hapo. Subiri Kwanza tuko bize namie awamu nibinafsishe ngorongoro so nawatoa wamasai Kwanza.

Mbona wengine wameuza migodi hamjaongea na wanakula perse mpaka kesho. Watu wamebinafsisha mashirika ya imma mie ngorongoro tu mnapiga kelele jamani Hapa wazaungu na warabu wataiba wanyama wote hapa patafanywe pawe pabaya.unadhani Ni Nani asiyependa watalii lazima mwarabu atengeneze mbuga kule wewe si haumini baadaye huku kutakuwa kubaya so watu wengi wataelekea uarabuni huku hakutakuwa Tena baada ya 100 yrs andikeni vitabu.

Yaani baada ya 300yrs tutakuwa tunaenda kuaaoana wanyama wetu huko kwao. Yaani baba afrika basi tu acha tu tule mbususu ndiyo hazina tuliyopewa. Naanza kuona why black America hawataki kurudi kwao na ukimuita mwafrika anaweza akaku shoot ujue. Yaani hapa eti tunapendwa wageni watembelee huku sir tupate hela jamani. Sijawahi ona mtu anaweka paja la kuku kwa mdomo wa mwenzake akakosea kuweka mdomoni mwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom