Tutolewe Leso – Yohana 11:43-44

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
[h=2]Tutolewe Leso – Yohana 11:43-44[/h] Monday, June 20, 2011

[h=3]Baada ya Lazaro kufufuliwa ilifanyika kazi ya ziada kuondoa sanda na leso yake. Sanda na Leso vilimfanya asiweze kutembea na kuona mbele. Tulikua wafu sababu ya dhambi, tukafufuliwa pamoja na Bwana Yesu, tukawa hai, kabla hatujaokoka tulikua kaburini. Warumi 6:4. Baada ya kufufuliwa (kuokoka) kazi ya Bwana Yesu inaendelea, tuziondoe sanda na leso zilizotufunga tufunguliwe.Tito 2:11-13[/h] –Mchg. Edward Mrope
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom