Tutengeneze jedwali ambalo matokeo yote yatajumulishwa pamoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutengeneze jedwali ambalo matokeo yote yatajumulishwa pamoja

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Omulangi, Oct 31, 2010.

 1. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Napendekeza litengenezwe jedwali ambalo litaunganisha matokeo yote ya majimbo na vituo vyake na idadi ya vyama. Kila matokeo yanapokuja yaingizwe humo. Wanaotuma matokeo waelezwe ni items zipi waweke mf jimbo, kata na kituo. Ndipo mtu aseme idadi ili wakati huo huo tupate picha ya jumla ya matokeo. Je Mods wanaweza kushughulikia hili? Ni mawazo yangu.
   
 2. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hilo lipo tayari nadhani mods bado wako bize kwa sasa..
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Nadhani mods watakuwa wanashughlikia anake kuzunguka thredini ni kazi!
   
 4. c

  chanai JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lipo hilo mkuu
   
 5. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mimi nina wasiwasi baadhi ya watu watatuletea taarifa za uongo. kwa hiyo tutafute vigezo ambavyo vitatumika kuamini matokeo kabla hatujayaingiza ktk jedwali.

  Nawasilisha
   
Loading...