Tutegemee maada nyngine ambayo itatikisa vyombo vya habari na kusahau ishu hii ya madawa ya kulevya

njoo kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Messages
416
Points
1,000

njoo kwetu

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2016
416 1,000
Tanzania yetu ni nchi ya kipekee sana ambayo kwa kila muda fulan kuna kuwa na maada moto ambayo itatikisa nchi nzima lakn mwsho wa maada hyo inakuwa na maswal mengi na kukosekana na majibu
1. Tulianza na bean sanane .. cha kushangaza bean saanane tulimsahau kbsa kama alipotea kwnye mazingira ya kutatanisha na cha kushangaza hata mwenyekiti wa chadema ambaye alikuwa mfahasi wake na yeye kasahau.. Mbowe yupo tayari kuwashawishi wabunge wa upinzani kutoka nje ya bunge kwa ajiri ya spika wa bunge kwenda kinyume nao,lakini hayupo tyr kuwashawishi wa bunge wenzake kujua hatima ya saanane
2. Mara swala la faru john likatawala tena Tanzania tukamsahau kbsa kama kuna ndugu yetu saanane amepotelea kwny mazingira ya kutatanisha.. wte tukakimbilia kwa faru john ambaye hakuwa wa umuhimu kuliko roho ya mtu.. cha kushangaza faru john na yeye akapotelea mbali
3. Likaja swala la njaa.. rais anakanusha hakuna njaa, lakn basdhi ya wananchi wanalia njaa, mpka baadhi ya wabunge wakadiliki kuacha ubunge kama serikal ikionyesha hazina fulan ya chakula.. hlo la njaa likaingia mitini
4. Sasa likaja maada ya dawa za kulevya, hapo ndipo kilipo kuwa kizungumkuti, Makonda kataja majina ya watumiaji wa dawa za kulevya na wauzaji. Lakin kila cha kushangaza hakuungwa mkono na wabunge ,wengine wakasema anataka sifa,mara anafanya siasa.. lakin cha kushangaza leo hii movie ya dawa za kulevya imeisha.. naona movie ilipofika katikati star amegongwa na gari... na movie imeisha... ASANTE TANZANIA NA TUTEGEMEE KUPATA MAADA MPYA BAADA HII YA MADAWA KUISHA
 

Forum statistics

Threads 1,390,269
Members 528,139
Posts 34,047,906
Top