Tutegemee jina la Makamu wa Rais Kesho? Ratiba ya mkutano wa 3 wa Bunge la 12 kuanza kesho Machi 30, 2021

Kinyungu kwani siku21 za maombolezo zimeisha? Kwanini unaumia sanaa?
Au tukuombolezee wewe?

Salary Slip kuwa na tamaa lakini usitamani msiba

Hata Rais Samia Suluhu Hassan jana alimkumbuka John Pombe Magufuli na kumwombea raha ya milele na mwanga wa milele umuangazie sababu bado tuko kwenye maombolezo ndugu
Samahani mama D
 
Back
Top Bottom