Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,908
- 8,996
Habari zenu wakuu hivi ukitaka kucheza need for speed most wanted kwa kutumia computer mbili tofauti unafanyaje?

Inabid mcheze online kama n kwa computer mbili tofaut
nimejaribu nime connect na internet then nikafungua game kama administrator then kwenye game kuna option ya LAN PLAY ila ndo haisom PC ya pil
lazima pc mbili ziweze kuwasiliana kwanza kabla hujafungua game
hili ni full versionKwn ni demo au full version?